beefinjector
JF-Expert Member
- Jul 23, 2009
- 2,458
- 2,496
Tatizo watu wamekariri stori za miaka ya 70 huko. Hawajui kwamba ulimwengu umebadilika. IDF hata kwenye top 10 ya majeshi duniani haipo. Hao Mossad wameshafanya blunders nyingi tu za ujasusi ikiwamo kumuua Ahmed Bouchiki wakidhani ni Ali Hassan Salameh huko Lillerhammer, Norway na jaribio la kumuua Kiongozi wa Hamas, Khalid Meshal huko Amman, Jordan.Himars,
Israel ilianza kudhoofika baada ya Vita Vya Yom Kippur 1973.
Katika vita na Hizbullah 2006 ndipo ile ''myth'' ya nguvu za Israel ilipovunjika hadi leo.
Nimepata kualikwa sehemu fulani mara mbili Zanzibar na Dar es Salaam kuzungumza kuhusu hili.