IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Kaka weka ushabiki pembeni tuzungumze military issues hapa kiuchambuzi kama wasomi!!!Kama maafisa wa Mossad kila siku wapo Riyadh kukutana na MBS au wapo Algeria kukutana counter part wenzao kwenye mambo ya kijasusi unategemea nini kaka!!!Mimi ni mchambuzi wa mambo ya kijeshi sio shabiki wa mambo ya kisiasa au udini au kimtazamo kaka
Hapo Middle East waliamua normalize relationship ili waweze kumzuia common enermy, Iran
 
Huwa nawashangaa watu mnapopofukwa na mahaba. Israel is nothing without US and west.
Media zinawatia ujinga mnapofukwa.

Hizi ngonjera ni sawa na wale wazee wa kukwambia Israel imebarikiwa au mtu fulani amebarikiwa kuliko wote. Kwangu mimi ukinieleza eneo fulani ni takatifu nakubali, lakini ujinga wa kunieleza taifa fulani ni teule au sijui mtu fulani kabarikiwa kuliko binadamu wote nakuona taahira.
Kweli ila
 
Kichekesho! Kuna ka nchi kanajiona ni israel ya afrika ya kati, kanipiga mikwara wenzake wakubwa eti kanasea kako imara. Sasa kasijaribu kuichokoza nchi moja kubwa jirani yake na katajua kako imara kwa kiasi gani. Ile nchi kubwa jirani yake daima ina nguvu za kuwachakaza wachokozi, wawe wakubwa au wadogo kichapo kikubwa hupata
😂😂😂 kuna speech yake moja mfalme wa hiyo nchi anatolea mfano kupitia migomba
 
Sasa leo hapa tunazungumza kama wanajeshi uwanja wa mapambano mzee wangu!!!Tunazungumzia vitu tulivyoshuhudia kwa macho na ndio maana mada ni IDF na ubora wao!!!Karibu sana
Nelson...
Naona umepata hofu baada ya kuniona nimeingia kuchangia.
Allah ana maajabu yake.

Unadhani kuwa mimi siko katika club hii yako.
Kila utakavyonifikiria kuwa basi itakuwa siyo.

Hapa nilipoanza kuandika nikawa naitwa kwa kejeli, ''ustadh,'' ''mufti,'' ''sheikh.''
Nilipata sana tabu kuwafahamisha kuwa sinazo sifa hizo.

Baadae wakanijua kuwa siwezi kuwa na vyeo hivyo lakini kwa wao kuona picha nilizoweka nifahamike.

Nisome kwa makini kuna kitu utajifunza kutoka kwangu.
 
Nitaleta uzi mzima kuelezea namna Johnathan alivyoweza kuingia katikati ya vikosi vya majeshi ya misri na kukata main supply yao wakati majeshi ya israel yameshitukizwa na vita siku ya sikukuu yao ya yom kippur!!!Aliingia katikati ya majeshi ya misri na wanajeshi 2000 tu na wakafanikiwa kukata main supply ya wana jeshi wa msiri na kuwateka wote waliokua wamevuka suez canal na kuingia jangwa la Sinai na kulazimisha mazungumzo ya kubadilishana mateka waliokua wametekwa na majeshi ya misri na kupelekwa Cairo na Ismailia !!Wakati huo alikua kilometa 200 kutoka ismailia!!!
Unamfahamu léo major vizuri? Bado sijaona morden soldier anayekuta hata robo ya uthubutu wa huyu jamaa.
 
Ubora wao unajulikana kuanzia 1948,1967, 1973

Hadi leo
Himars,
Israel ilianza kudhoofika baada ya Vita Vya Yom Kippur 1973.
Katika vita na Hizbullah 2006 ndipo ile ''myth'' ya nguvu za Israel ilipovunjika hadi leo.

Nimepata kualikwa sehemu fulani mara mbili Zanzibar na Dar es Salaam kuzungumza kuhusu hili.
 
Nishasoma hivo vitaabu vya uzayoni lakini naheshimu sana michango ya wazee kama ninyi nashukuru pia
Duc...
Kuna sehemu naweza mimi nikachangia lakini katika kusoma somo utajifunza mengi Google.

Vitabu vyote viko hapo pamoja na rejea juu ya rejea (reference and cross reference) kwani hata mie huko ndiko tegemeo langu hata mimi.
 
Duc...
Kuna sehemu naweza mimi nikachangia lakini katika kusoma somo utajifunza mengi Google.

Vitabu vyote viko hapo pamoja na rejea juu ya rejea (reference and cross reference) kwani hata mie huko ndiko tegemeo langu hata mimi.
Sawa saw mzee wangu
 
Back
Top Bottom