Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Kuna watu wamezaliwa namtumbo huko ila wanasema kwao ni Saudi Arabia!.Nimemuona ila nilipoleta uzi mada kuu tunazungumzia uzoefu wa kijeshi kwa wanajeshi especially IDF!!Mambo ya udini na siasa hapa hii sio mada yake!!!!
Unaelewa mada lakini mzee wangu!!!Ubora wa IDF na operation zake na Mossad na operation zake!!!Na uzoefu wa wanajeshi katika uwanja wa mapambanoNelson....
Hakuna Uislam wowote katika mchsngo wangu.
Andika Kiswahili nakuelewa zaidi kuliko ukiandika Kiingereza.
Nimekuwekea hapa Yom Kippur War 1973.
Nikakuwekea Abdul Hakim Ameir nikakwambia Sadat kahisi jinamizi la Six Days War.
Ninakuletea vifaru vya Field Marshall Josip Tito wa Yugoslavia haya yote ndani ya Sinai.
Uislam uko wapi hapo.
Hukutegemea haya kutoka kwangu.
Kaka tafsida kidogoKuna watu wamezaliwa namtumbo huko ila wanasema kwao ni Saudi Arabia!.
Nelson...Upo sahii kaka mimi kama mchambuzi nazungumzia takribani operation zaidi ya 100+ ambazo IDF wamezifanya kwa matokeo chanya!!!Ndio nikasema kwa sasa IDF ni jeshi bora zaidi kaka kuliko majeshi mengi tu ulimwenguni!!!Sasa wadau wanaleta udini na siasa na wanatoka nje ya mada!!
Upo sahii kaka ila je limeshiriki operation ngapi duniani kama IDF!!!Egypt ana Jeshi kubwa na kisasa na lenye nguvu .
Simply because His probable Enemy is Israel Ambae Kwenye Manouver and Tactics Yuko Mbali sana .
Hii mada wewe huiwezi sababu hauna uzoefu wa kijeshi na hujawahi kushiriki operation za kijeshi na haujui ubora wa majeshi mzee wangu!!!!Wacha wanajeshi wachangie uzoefu wao uwanja wa mapambano sio wa kwenye vitabu mzee wangu!!!Nelson...
Mimi kujkufahamisha kuwa nayajua haya tunayojadili nimekuwekea vitabu viwili kutoka Maktaba yangu kukudhihirishia kuwa naijua historia ya Israel kutoka ulimi wao wenyewe.
Nikakuwekea na kitabu kingine ambacho kilitengezwa senema maarufu na Spielberg - ''Schindlers List.''
Mimi siandiki mtindo wa ''Barua.''
Hupenda kuweka rejea hata kama ni picha na hupenda picha ambayo mimi mwenyewe nimepiga.
Ndiyo nikakuwekea mahojiano yangu na VoA na mahojiano yale yalikuwa kuhusu Ugaidi Duniani.
View attachment 2508847
View attachment 2508852
Nelson...Unaelewa mada lakini mzee wangu!!!Ubora wa IDF na operation zake na Mossad na operation zake!!!Na uzoefu wa wanajeshi katika uwanja wa mapambano
Golder Meir aliwaua wote waliohusika na Black Sept, japo alirisk assets wake ambao walifungwa NorwayHizi sasa ndio nilizokua nazungumzia mission za mossad
Tunazungumizia ubora wa wanajeshi vitani na uzoefu wao uwanja wa mapambano na shuruba za kua mstari wa mbele kama asikari wa miguu!!Hapa ndio ubora wa IDF unapoonekana,,wanajeshi sio watu wa vitabu ni watu wa kupokea amri!!!!Hivyo vitabu leo hapa sio mada yake mzee wanguNelson...
Mimi kujkufahamisha kuwa nayajua haya tunayojadili nimekuwekea vitabu viwili kutoka Maktaba yangu kukudhihirishia kuwa naijua historia ya Israel kutoka ulimi wao wenyewe.
Nikakuwekea na kitabu kingine ambacho kilitengezwa senema maarufu na Spielberg - ''Schindlers List.''
Mimi siandiki mtindo wa ''Barua.''
Hupenda kuweka rejea hata kama ni picha na hupenda picha ambayo mimi mwenyewe nimepiga.
Ndiyo nikakuwekea mahojiano yangu na VoA na mahojiano yale yalikuwa kuhusu Ugaidi Duniani.
View attachment 2508847
View attachment 2508852
IDF imezoea urban warfare.Hapo kwenye active duty soldier,s na commando's ndio napopazungumzia mimi ubora wa IDF kama mchambuzi wa kijeshi
Ñakumbuka mossad walivyofanikiwa kumuua kiongozi wa black September pale beirut!!!Golder Meir aliwaua wote waliohusika na Black Sept, japo alirisk assets wake ambao walifungwa Norway
Siwadharau maana kama unazijua Celebrate na Pegasus ya NSO utawaamini IDF maana moja wapo wa Unit yake ndo iliunda hizo spywareUpo sahii kaka
Maajabu haya, tena binaadam mwenyewe kabeba maiti, majeruhi huku anapigwa risasi za mgongoni.Speed ya ndege vs Binadamu
I got you kakaSiwadharau maana kama unazijua Celebrate na Pegasus ya NSO utawaamini IDF maana moja wapo wa Unit yake ndo iliunda hizo spyware
Nelson...Hii mada wewe huiwezi sababu hauna uzoefu wa kijeshi na hujawahi kushiriki operation za kijeshi na haujui ubora wa majeshi mzee wangu!!!!Wacha wanajeshi wachangie uzoefu wao uwanja wa mapambano sio wa kwenye vitabu mzee wangu!!!
Facts bro na ndio sera ya Mossad na IDFTerrorist understand only the language of Guns, bombs etc
Sikuchimbi ila huu uzi ni wa kijeshi zaidi wewe mwanasiasa wa vitabuni hujawahi kwenda frontline!!!!Au umewahi mzee wangu kuonja adha za uwanja wa mapambano popote pale duniani???Nelson...
Unajua kama sina uzoefu wa kijeshi?
Unataka kunichimba kesho uandike kuwa nina mafunzo ya silaha?
Huu uzi umueleta hapa wacha nichangie.
Mimi sitoki hapa nitachangia kama unavyochangia wewe.
Nini shida yako.
Hofu ya ninayoyajua yanakufanya wewe ujihisi mdogo hujui kitu?
Dunia ndivyo ilivyo.
Hata desert warfare wapo vizuri!!!Kuna mission nyingi wamecover duniani kama operation 62 wakishirikiana na marine,s wa USA!!IDF imezoea urban warfare.