Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Ngoja tuendelee kumsoma mleta mada walau yeye anatoa maelezo ya kina.Hiyo vita mnayoiita kipuri Israeli ilisaidiwa, kuna vita gani nyingine Israel ilipigana kama sio hezibollah na hammasi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuendelee kumsoma mleta mada walau yeye anatoa maelezo ya kina.Hiyo vita mnayoiita kipuri Israeli ilisaidiwa, kuna vita gani nyingine Israel ilipigana kama sio hezibollah na hammasi??
Vita ya 1967 ilikuwa siyo full scale War? 1973 je? Imebidi nicheke baada ya kuona unasema hata Tanzania inaweza kupigana na Israel na ikaishinda.Hapo nimeona umeamua kuweka commedy zaidi katika hii comment yako.Vigezo vya hizo rank ni kipi, Izrael hajawahi kuingia full scale war, yeye ni mviziaji tu wa vimission vidogovidogo, Izrael hata ikipigana na Tanzania ya leo inapigwa.
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa Israel kwenye Vita huwa inatumia wapalestina waliopo izraeli Kama kinga dhidi ya waarabu wenzao.
Walithubu kuingia vitani na Hizbullah walipigwa ndani ya siku kumi Mpaka wakaomba poo. Ilikuwa 2010
Nyamizi,Tupatie maelezo ya kina ya Vita vya Hamas na Israel.Haya mengine uliyosema hapo juu hayana maana sana.
Hawa jamaa wamenza vita na ujasusi Tangu kuumbwa kwa ulimwengu wamepitia misuko suko mingi hadi leo. Wana la kujifunza.Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
IDF wana structure bora kabisa ya kubuni mbinu za kujilinda hata katika mazinira magumuHawa jamaa wamenza vita na ujasusi Tangu kuumbwa kwa ulimwengu wamepitia misuko suko mingi hadi leo. Wana la kujifunza.
Sasa tujadili kwa upande mwingine kama wadau wa medani za kijeshi vitani kwenye vita hii husika ya 2006.Mbinu zilizotumika kwenye vita hii kwa pande zote zilizopigana,hasara za mali na nguvu kazi kwa pande zote,kila upande walitekwa watu wanajeshi wangapi na walikufa wanajeshi wangapi.Karibu tujadili kama wataalamu wa medani za kijeshiNyamizi,
Nakuwekea hapa kipande kutoka mhadhara kuhusu vita kati ya Hizbullah na Israel mwaka wa 2006 niliofanya kwanza State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam:
Vita hii iliykuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.
Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel. Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''
![]()
Notes zangu
![]()
Karibu mjadala kaka ila mada tunazungumzia ubora kwenye uwanja wa mapambanoYaani mngejua kuwa Hao jamaa bila USA hamna kitu.
Karibu uchangie kakaTehran series.
Tatizo la wadau wanachangia hii mada kwa mtazamo wa kiraia na sio kijeshiVita ya 1967 ilikuwa siyo full scale War? 1973 je? Imebidi nicheke baada ya kuona unasema hata Tanzania inaweza kupigana na Israel na ikaishinda.Hapo nimeona umeamua kuweka commedy zaidi katika hii comment yako.
Karibu tujadili hii vita ya 2010 unayosema kati ya IDF na Hezbollah kama wadau wa mambo ya kijeshi na katika mtazamo wa kijeshi.Kuanzia mbinu walizotumia pande zote mbili kwenye uwanja wa vita,hasara mjengeo kwa pande zote mbili,walikufa wanajeshi wangapi kwa pande zote mbili na aina ya silaha zilizotumika kwenye vita husika unayosema na ufanisi wake.Karibu kakaVigezo vya hizo rank ni kipi, Izrael hajawahi kuingia full scale war, yeye ni mviziaji tu wa vimission vidogovidogo, Izrael hata ikipigana na Tanzania ya leo inapigwa.
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa Israel kwenye Vita huwa inatumia wapalestina waliopo izraeli Kama kinga dhidi ya waarabu wenzao.
Walithubu kuingia vitani na Hizbullah walipigwa ndani ya siku kumi Mpaka wakaomba poo. Ilikuwa 2010
Contemporary Israel= USA & UK citizens in the middle East
Karibu uchangie kaka ila katika mtazamo wa kijeshi sio kiraia tuzungumzie hii madaContemporary Israel= USA & UK citizens in the middle East
Karibu uchangie mada kama inavyosema ila tunachambua mada kijeshi sio kiraia au kisiasa karibu sanaIsraeli mnamsifia bure vita vyake vyote anategemea kusaidiwa kama Ukraine. Hata vita zijazo za Israel anategemea kusaidiwa. Hawezi akasimama pekeyake apambane na mwirani pekeyake HAWEZI
Asante sana kwa haya maelezo japo naona ni maelezo ya juu juu tu.Nilidhani utatuwekea hapa facts za jinsi Hizbullah 'walivyoshinda' hiyo vita.Ungetuwekea pia na msaada wa kijeshi waliokuwa wanapatiwa na Iran,lakini pia Hizbullah 'washinde' vita halafu Israel iendelee kuutawala huo ukanda,inaingia akilini kweli?Nyamizi,
Nakuwekea hapa kipande kutoka mhadhara kuhusu vita kati ya Hizbullah na Israel mwaka wa 2006 niliofanya kwanza State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam:
Vita hii iliykuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.
Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel. Hili halikutokea.
Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.
Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.
Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.
Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.
Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?
Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’
Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''
![]()
Notes zangu
![]()
Atakaejibu hii hoja yako kwa ufasaha kabisa atakuwa ameitendea haki hii mada.Sasa tujadili kwa upande mwingine kama wadau wa medani za kijeshi vitani kwenye vita hii husika ya 2006.Mbinu zilizotumika kwenye vita hii kwa pande zote zilizopigana,hasara za mali na nguvu kazi kwa pande zote,kila upande walitekwa watu wanajeshi wangapi na walikufa wanajeshi wangapi.Karibu tujadili kama wataalamu wa medani za kijeshi
Israel anatawala ukanda upi na kivipi?Asante sana kwa haya maelezo japo naona ni maelezo ya juu juu tu.Nilidhani utatuwekea hapa facts za jinsi Hizbullah 'walivyoshinda' hiyo vita.Ungetuwekea pia na msaada wa kijeshi waliokuwa wanapatiwa na Iran,lakini pia Hizbullah 'washinde' vita halafu Israel iendelee kuutawala huo ukanda,inaingia akilini kweli?
Nasubiri na maelezo ya vita vya Israel vs Hamas pia ambalo ndilo lilikuwa swali langu la msingi.