IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Contemporary Israel= USA & UK citizens in the middle East
 
Vigezo vya hizo rank ni kipi, Izrael hajawahi kuingia full scale war, yeye ni mviziaji tu wa vimission vidogovidogo, Izrael hata ikipigana na Tanzania ya leo inapigwa.

Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa Israel kwenye Vita huwa inatumia wapalestina waliopo izraeli Kama kinga dhidi ya waarabu wenzao.

Walithubu kuingia vitani na Hizbullah walipigwa ndani ya siku kumi Mpaka wakaomba poo. Ilikuwa 2010
 
Vita ya 1967 ilikuwa siyo full scale War? 1973 je? Imebidi nicheke baada ya kuona unasema hata Tanzania inaweza kupigana na Israel na ikaishinda.Hapo nimeona umeamua kuweka commedy zaidi katika hii comment yako.
 
Tupatie maelezo ya kina ya Vita vya Hamas na Israel.Haya mengine uliyosema hapo juu hayana maana sana.
Nyamizi,
Nakuwekea hapa kipande kutoka mhadhara kuhusu vita kati ya Hizbullah na Israel mwaka wa 2006 niliofanya kwanza State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam:

Vita hii iliykuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.

Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel. Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

20170618_104440.jpg

Notes zangu
20170618_104516.jpg

Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Hawa jamaa wamenza vita na ujasusi Tangu kuumbwa kwa ulimwengu wamepitia misuko suko mingi hadi leo. Wana la kujifunza.
 
Nyamizi,
Nakuwekea hapa kipande kutoka mhadhara kuhusu vita kati ya Hizbullah na Israel mwaka wa 2006 niliofanya kwanza State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam:

Vita hii iliykuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.

Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel. Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

20170618_104440.jpg

Notes zangu
20170618_104516.jpg

Sasa tujadili kwa upande mwingine kama wadau wa medani za kijeshi vitani kwenye vita hii husika ya 2006.Mbinu zilizotumika kwenye vita hii kwa pande zote zilizopigana,hasara za mali na nguvu kazi kwa pande zote,kila upande walitekwa watu wanajeshi wangapi na walikufa wanajeshi wangapi.Karibu tujadili kama wataalamu wa medani za kijeshi
 
Vita ya 1967 ilikuwa siyo full scale War? 1973 je? Imebidi nicheke baada ya kuona unasema hata Tanzania inaweza kupigana na Israel na ikaishinda.Hapo nimeona umeamua kuweka commedy zaidi katika hii comment yako.
Tatizo la wadau wanachangia hii mada kwa mtazamo wa kiraia na sio kijeshi
 
Vigezo vya hizo rank ni kipi, Izrael hajawahi kuingia full scale war, yeye ni mviziaji tu wa vimission vidogovidogo, Izrael hata ikipigana na Tanzania ya leo inapigwa.

Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kuwa Israel kwenye Vita huwa inatumia wapalestina waliopo izraeli Kama kinga dhidi ya waarabu wenzao.

Walithubu kuingia vitani na Hizbullah walipigwa ndani ya siku kumi Mpaka wakaomba poo. Ilikuwa 2010
Karibu tujadili hii vita ya 2010 unayosema kati ya IDF na Hezbollah kama wadau wa mambo ya kijeshi na katika mtazamo wa kijeshi.Kuanzia mbinu walizotumia pande zote mbili kwenye uwanja wa vita,hasara mjengeo kwa pande zote mbili,walikufa wanajeshi wangapi kwa pande zote mbili na aina ya silaha zilizotumika kwenye vita husika unayosema na ufanisi wake.Karibu kaka
 
Israeli mnamsifia bure vita vyake vyote anategemea kusaidiwa kama Ukraine. Hata vita zijazo za Israel anategemea kusaidiwa. Hawezi akasimama pekeyake apambane na mwirani pekeyake HAWEZI
Karibu uchangie mada kama inavyosema ila tunachambua mada kijeshi sio kiraia au kisiasa karibu sana
 
Nyamizi,
Nakuwekea hapa kipande kutoka mhadhara kuhusu vita kati ya Hizbullah na Israel mwaka wa 2006 niliofanya kwanza State University of Zanzibar (SUZA) na Centre for Foreign Relations, Dar es Salaam:

Vita hii iliykuja kumaliza kile kilichokuwa kimeaaminika na dunia kuwa Wayahudi hawawezi kushindwa katika vita, ni vita vya mwaka wa 2006 kati ya Hizbullah na Wayahudi.

Vita vilipoanza fikra za wengi katika nchi za Kiarabu zilirejea katika Vita Vya Siku Sita vya mwaka wa 1967 na wengi waliamini kuwa Hizbullah watamalizwa kwa muda mfupi kwa kusagwasagwa na Israel. Hili halikutokea.

Vita vilipiganwa kwa siku 34 katika mwezi wa Julai na Agosti hadi pale Umoja wa Mataifa ilipoingia kati na kuweka makubaliano ya kuweka silaha chini na kumaliza vita.

Wayahudi kwa mara ya kwanza katika historia ya mapambano yao na Waarabu walionekana katika stesheni nyingi kubwa za televisheni duniani wakirudi Israel kutoka uwanja wa mapambano wameinamisha chini vichwa vyao.

Israel ilikuwa kwa mara ya kwanza imeonja kipigo katika vita. Hapakuwa na shamrashamra ziliyozoeleka za ushindi dhidi ya majeshi ya Kiarabu.

Hizbullah ilikuwa imevunja, ‘’myth,’’ ile fikra ya kuwa Wayahudi hawawezekani.

Hassan Nasrallah kiongozi wa Hizbullah alikuwa akiuliza wakati wa vita, ‘’Wako wapi askari wa Kiyahudi mbona hatuwaoni katika uwanja wa vita?

Tunachoshuhudia ni ndege za Kiyahudi wakipiga mabomu nyumba za raia.’’

Baada ya vita, ilipofika wakati wa kubadilishana mateka Wayahudi walipata fadhaa zaidi pale walipokuwa wao wanapokea majeneza ya askari wao waliouliwa vitani na Hizbullah na wao wakiwaachia huru askari hai wa Hizbullah.''

20170618_104440.jpg

Notes zangu
20170618_104516.jpg

Asante sana kwa haya maelezo japo naona ni maelezo ya juu juu tu.Nilidhani utatuwekea hapa facts za jinsi Hizbullah 'walivyoshinda' hiyo vita.Ungetuwekea pia na msaada wa kijeshi waliokuwa wanapatiwa na Iran,lakini pia Hizbullah 'washinde' vita halafu Israel iendelee kuutawala huo ukanda,inaingia akilini kweli?

Nasubiri na maelezo ya vita vya Israel vs Hamas pia ambalo ndilo lilikuwa swali langu la msingi.
 
Sasa tujadili kwa upande mwingine kama wadau wa medani za kijeshi vitani kwenye vita hii husika ya 2006.Mbinu zilizotumika kwenye vita hii kwa pande zote zilizopigana,hasara za mali na nguvu kazi kwa pande zote,kila upande walitekwa watu wanajeshi wangapi na walikufa wanajeshi wangapi.Karibu tujadili kama wataalamu wa medani za kijeshi
Atakaejibu hii hoja yako kwa ufasaha kabisa atakuwa ameitendea haki hii mada.
 
Asante sana kwa haya maelezo japo naona ni maelezo ya juu juu tu.Nilidhani utatuwekea hapa facts za jinsi Hizbullah 'walivyoshinda' hiyo vita.Ungetuwekea pia na msaada wa kijeshi waliokuwa wanapatiwa na Iran,lakini pia Hizbullah 'washinde' vita halafu Israel iendelee kuutawala huo ukanda,inaingia akilini kweli?

Nasubiri na maelezo ya vita vya Israel vs Hamas pia ambalo ndilo lilikuwa swali langu la msingi.
Israel anatawala ukanda upi na kivipi?
 
Sasa tuendelee na tulipoishia katika vita vya majira ya kipupwe 1973 kati ya majeshi ya IDF na majeshi ya Syria katika uwanda wa Golan upande wa kasikazini ambao vikosi vya Syria walipigana kiume kupenya hapo na palifaa kimazingira kupenyea hapo kama nilivyoeleza huko mwanzo.Tukubaliane kwanza kuna vitu muhimu kwa makamanda wa kijeshi wanapokua msitari wa mbele vitani,kwanza kulinda maisha ya askari wake,pili kuzuia adui asiingie eneo lake huku akizuia au kupunguza hatari kwa askari wake katika uwanja wa mapambano na tatu kuna kitu kinaitwa (HATUA MBINU) nimejaribu kutumia kiswahili chepesi cha kiraia na hapa tutaangalia sana hii hatua mbinu kama wadau wa yanayotokea kwenye uwanja wa mapambano.Majeshi ya Syria pale vilima vya Golan yalikua na lengo moja kurudisha maeneo yaliyopoteza mwaka 1967 na kutengeneza eneo la kujihami pale pale vilimani ndani ya masaa 24,na ili mbinu hii ifanikiwe unahitaji askari wazoefu kimikakati kuongoza askari wa chini na walifanikiwa hili suala ndani ya masaa 13 tu walikua ndani ya uwanda wa Golan eneo la kaskazini wakijenga senyenge na kuchimba mahandaki na kuviweka vifaru vyao vya T-55 na T-65 katika nafasi za mipango kazi pia kusambaza vilipuzi mtambao kwa namna ya zig zag mahususi kwa kukata minyororo ya vifaru vya adui kama vitakuja na msisahau huo wakati ni usiku na mapigano yanaendelea aridhini na angani na wanashambuliwa na wanajeshi wa IDF waliobaki mbele ili kuwezesha wenzao kurudi nyuma na kujipanga kimkakati.Lakini tusisahau kua IDF waliporudi nyuma walikua wameweka mtego ambao kitaalamu ulipewa jina la RWD waliouasisi makamanda wenyewe wa IDF,na hapa wataalamu wa maswala ya kijeshi tunaanza kuona udhaifu wa makamanda wa jeshi la Syria.Kama kamanda ukiona wanajeshi wa adui wanarudi nyuma kwa kasi na kuziacha resistance postion,s zao usiwafuate kwa kutumia askari wa miguu au magari au vifaru, inakubidi utumie mzinga kuwaharibia utulivu huko nyuma waliporudi ila wewe unaamuru askari wake wabakie pale pale walipo ili usiingie kwenye mtego wa adui.Sasa makamanda wa Syria sijui kulikua na mkaganyiko wa mawasiliano kati ya vikosi vya aridhini na angani waliingia mazima mazima kwenye mtego huu.Zaidi ya vikosi jumuishi vitatu vya wanajeshi wa Syria ambapo ni kama askari wa miguu 6800 na vikosi jumuishi viwili au pungufu vya jeshi la IDF wakakutana uso kwa uso katika uwanda wa kaskazini wa milima ya Golan,wakiwa na vifaru vya T-55 na T-65 na M48A3 pamoja na M60A1 na kuzua moja ya mapigano makubwa sana ya vikosi vya vifaru kuwahi kutokea duniani baada ya vita vikuu vya kwanza na vya pili duniani.TUTAENDELEA KUCHAMBUA NA KUONA JE HII MBINU YA (RWD YA IDF) ILIKUA NA MATOKEO CHANYA AU MAKAMANDA WA SYRIA WALIKUA SAHII KUCHAGUA UPANDE WA KASKAZINI WA VILIMA VYA GOLAN KAMA ENEO LAO LA MAINGILIO VITANI USIKU ULE...........
 
Back
Top Bottom