Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
-
- #541
Karibuni tuzungumzie hii mada kwa mtazamo wa kijeshi tuachane ma masuala ya kuchambua kama raia au wanasiasa.Mkisoma chambuzi zangu mleta mada mtanielewaHIZBU magaidi sababu wapo kinyume na Western nandio maana leo hata wagner wanatambulika magaidi sababu wapo kinyume na wester
HIZBU hawakua pale pale soma vyema hio vita kuna maeneo yalikua yanakaliwa na hao magaidi wa israel mashamba ya SHABAA ambayo baada ya vita yalirudi kwa HIZBULLAH
UGAIDI ninini !!!??
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila ujadili kwa mtazamo wa kijeshi na sio kwa mtazamo wa kisiasa na kiitikadi.Tatizo la wachangia mada wengi wanachangia kwa mtazamo wa kiraia na kisiasa na kiitikadi na kiimani.Sasa wachangia mada wa mtazamo wa kijeshi tupo tafauti.Vita vya kijeshi havielezewi kwa miadhara ya ukumbini au sehemu za ibada bali hali halisi ya uwanja wa mapambano wakati husika.Nipo katika kuchambua siku ya tatu ya mapigano pale uwanda wa Golan wakati wanajeshi wa miguu na vifaru toka pande zote mbili wanaonana uso kwa uso asubuhi na mapema.Karibu tuendelee....Nelson,
Naamini umenisoma na umenielewa.
Uko kimya.
Umefanya vizuri sana kuwa kimya.
Unanikaribisha leo kusoma hayo?
Unasahau kuwa mwanzo wa mjadala nilikuandikia kuhusu Mohamed Heykal na Sadat Yom Kippur inaanza ukasema mjadala huu si wa vitabu?
Mimi nayajua hayo toka 1973 na nayasomesha hadi hivi sasa na wewe nimekuorodhesha kama mmoja wa wanafunzi wangu.
Nelson...Ila ujadili kwa mtazamo wa kijeshi na sio kwa mtazamo wa kisiasa na kiitikadi.Tatizo la wachangia mada wengi wanachangia kwa mtazamo wa kiraia na kisiasa na kiitikadi na kiimani.Sasa wachangia mada wa mtazamo wa kijeshi tupo tafauti.Vita vya kijeshi havielezewi kwa miadhara ya ukumbini au sehemu za ibada bali hali halisi ya uwanja wa mapambano wakati husika.Nipo katika kuchambua siku ya tatu ya mapigano pale uwanda wa Golan wakati wanajeshi wa miguu na vifaru toka pande zote mbili wanaonana uso kwa uso asubuhi na mapema.Karibu tuendelee....
Hapa tu ndiyo Mzee wangu na wewe huwa unapotoka.Unaweza kuweka pembeni kwanza hayo maswala ya "chuki na uislam" na ukachangia mada? Kwani mtu akisema sehemu za Ibada anakuwa ame insult Uislam? Tuendelee na mada iliyopo mezani,tusiipindishe makusudi na kuharibu mtiririko wake.Nelson...
Usipuuze nikuambiayo.
Una chuki kali na Uislam lakini huna ujasiri.
Ati sehemu za ibada.
Waislam hatuna sehemu za ibada tuna misikiti.
Usiogope utaje msikiti.
Anadai kosa langu ni kusema huwezi kuzungumzia vita na hali ya uwanja wa mapambano ukiwa kwenye ukumbi au kwenye mihadhara au nyumba za ibada nimemshauri tujadili mada hii kama wanajeshiHapa tu ndiyo Mzee wangu na wewe huwa unapotoka.Unaweza kuweka pembeni kwanza hayo maswala ya "chuki na uislam" na ukachangia mada? Kwani mtu akisema sehemu za Ibada anakuwa ame insult Uislam? Tuendelee na mada iliyopo mezani,tusiipindishe makusudi na kuharibu mtiririko wake.
Mzee wangu hii ni mada ya kijeshi kua serious kidogo kama unataka kuchangia!!Usichangie kama mwanasiasa au kiitikadi au kiimani utatoka nje ya madaNelson...
Usipuuze nikuambiayo.
Una chuki kali na Uislam lakini huna ujasiri.
Ati sehemu za ibada.
Waislam hatuna sehemu za ibada tuna misikiti.
Usiogope utaje msikiti.
Bado sijaona kosa loloteAnadai kosa langu ni kusema huwezi kuzungumzia vita na hali ya uwanja wa mapambano ukiwa kwenye ukumbi au kwenye mihadhara au nyumba za ibada nimemshauri tujadili mada hii kama wanajeshi
Nelson...Mzee wangu hii ni mada ya kijeshi kua serious kidogo kama unataka kuchangia!!Usichangie kama mwanasiasa au kiitikadi au kiimani utatoka nje ya mada
FactBado sijaona kosa lolote
Sasa mambo ya misikiti na udini yameingia vipi hapa!!!Huwezi kuvijua vita kupitia miadhara ya nyumba za ibada au madarasani au kwenye mialiko.Wachambuzi wa medani za kivita hawana itikadi,imani au siasa.Wanachambua wanakosoa wanasifia kwa mtazamo wa kijeshi.Karibu tuendelee kuchangia kwa mtazamo wa kijeshi ili tusitoke nje ya mada.Karibu tuendelee mzee wangu Said MohammedNelson...
Katika wachangiaji wa mada hii hakuna mwanajeshi yoyote si wewe wala yeyote yule.
Unanizungumzia mimi umakini (niwe serious) wewe unachangia kitu gani hapa ila hadithi za wagagagigikoko.
Vita gani uliopigana wewe.
Vita Vya Kagera au vya ukombozi wa Msumbiji?
Kuna mtu kaniletea picha yako nimekuona.
Nimemkatalia kuiweka hapa na maelezo yako na nimemsihi na yeye awe muungwana ukusitiri.
Mwisho.
Ikiwa hutaki kuona nachingia hapa.
Nieleze hapa watu wote wasome.
Nakuhakikishia nitaacha.
Karibu tuendeleeNelson...
Katika wachangiaji wa mada hii hakuna mwanajeshi yoyote si wewe wala yeyote yule.
Unanizungumzia mimi umakini (niwe serious) wewe unachangia kitu gani hapa ila hadithi za wagagagigikoko.
Vita gani uliopigana wewe.
Vita Vya Kagera au vya ukombozi wa Msumbiji?
Kuna mtu kaniletea picha yako nimekuona.
Nimemkatalia kuiweka hapa na maelezo yako na nimemsihi na yeye awe muungwana ukusitiri.
Mwisho.
Ikiwa hutaki kuona nachingia hapa.
Nieleze hapa watu wote wasome.
Nakuhakikishia nitaacha.
Nelson...Huyu ni mmoja kati ya wale makomando wa IDF niliowazungumzia mwanzoni nikasema walimsaidia Ariel Sharon kwa kumletea supply materials kama askari wa miamvuli wakati wamefanikiwa kuvuka Suez canal na kuikaribia Ismailia ila hawakusonga mbele baada ya kukutana na upinzani mkubwa na mkali wa majeshi ya Egypt nje kidogo ya mji wa Ismailia.Askari wa vikosi maalumu vya IDF walifanikiwa kujenga resistance line ndani ya territory ya Egypt na kuilinda (Holding in) mpaka mazungumzo ya amani yalipoanza na mazungumzo ya kubadilishana mateka wa kivita kwa pande zote mbili chini ya usimamizi wa USA yalipoanza
Kuna mtu kaniletea picha yako nimekuona.
Nimemkatalia kuiweka hapa na maelezo yako na nimemsihi na yeye awe muungwana ukusitiri..
Nyamizi,Huyo aliyekupa picha yake ni mtu wa ajabu sana.Kwa hiyo mtu anashindwa kujadili hoja anakimbilia Inbox kukupatia picha ya mtoa mada? Imebidi nicheke sana kwa haya maelezo[emoji3][emoji3].
Mzee wetu hebu tujikite na mada.Habari za picha za watu sidhani kama zina maana sana hapa.
Nyamizi,
Picha hiyo hakika haina maana.
Ilikuwa ni kumzindua ndugu yetu awe mkweli kuhusu haya mambo ya jeshi na ukachero.
Wewe umecheka kama nilivyocheka mimi na wenzangu.
Nyamizi,Tuendelee sasa kujikita kwenye mjadala wenye afya na kutusaidia wengine kupata chakula cha ubongo.
Nyamizi,Hapa tu ndiyo Mzee wangu na wewe huwa unapotoka.Unaweza kuweka pembeni kwanza hayo maswala ya "chuki na uislam" na ukachangia mada? Kwani mtu akisema sehemu za Ibada anakuwa ame insult Uislam? Tuendelee na mada iliyopo mezani,tusiipindishe makusudi na kuharibu mtiririko wake.
Nelson...Katika hali ngumu kabisa ile asubuhi vikosi vya IDF,s katika majengeo yao ya mitego ya(RWD) na wakiwa wachache kimahesabu na wana vipigia mizinga na mota 147 na vifaru 290 wanakutana na divisheni thabiti mbili au tatu za jeshi la Syria SSMF zikiwa na vifaru vya T-55 na T-62 zaidi ya 300 na vipigia mzinga na mota zaidi ya 100 wakiwa tayari kufa au kupona kurejesha eneo lao la vilima vya Golan katika oparesheni waliyokua mwanzoni wanaiita Al-Owda kabla majenerali wa kimsiri kuikataa na kuibadilisha na kua operation Badhr kila kitu kilipangwa Cairo.Basi tuendelee na kilichotokea uwanja wa mapambano.Wanajeshi wa IDF wote waliokua kwenye vifaru walichukua cover,s za aina ya pembe tatu(Angle to angle coverage) na mtambao wa chini.Wakati wanajeshi wa Syria SSMF cover zao zilikua head to head na mtambao wa chini pia.Kuna vikosi pale uwanja wa mapambano vilikua na kazi ya kuharibu vifaru vya adui kwa kutumia RPG,s na anti-tanks missels kwa pande zote mbili.Sasa ule mtego wa IDF wa (RWD) ukaanza kufanya kazi sababu karibia wanajeshi wote wa vikosi vya Syria upande ule walikua wameingia ndani kabisa ya uwanda wa vilima pamoja na vifaru sindikizi vyao na walikua wanaonekana kwa urahisi kuweza kuwashambulia na kuwateka au kuwarudisha nyuma.Sasa suala la ubunifu wa IDF likaonekana hapa maana bunduki za askari wa miguu walizokua wanatumia zilikua ni Berreta M1951 na BT/AT52 na UZ 9mm SMG ambazo zilikua tofauti kabisa na wapinzani wao kiubora na hapa ndipo tunapoona ubora wa jeshi la IDF.Kwa upande wa jeshi la Syria SSMF wanajeshi wake walikua wanatumia AK 47 na Hakim rifle,s