IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nyamizi,
Picha hiyo hakika haina maana.
Ilikuwa ni kumzindua ndugu yetu awe mkweli kuhusu haya mambo ya jeshi na ukachero.

Wewe umecheka kama nilivyocheka mimi na wenzangu.
Tuendelee na mada mzee wangu ambayo inasema ubora wa IDF katika uwanja wa vita.
 
Imetoka sehemu husika ila sio sehemu za kwenye mihadhara ya wanazuoni au vyuoni au kwenye nyumba za ibada au kwenye majukwaa ya itikadi za kisiasa au kidini.Wataalamu wa medani hizi tunakaa na wahusika wa sehemu inayojadiliwa na kuchambua haya mambo kitaalamu.Karibu sana mzee wangu tuendelee
 
Leo tuachane kidogo na yom kippur tutaendelea baadae na tumzungumzie kachero na mwanajeshi code number ""448"" kutoka MOSSAD na sera yake ya akifa myahudi mmoja basi wafe maadui kumi.Je ni nani huyu na alikua na nafasi gani katika IDF na Mossad????
 
Mzee wangu tuendelee na mada kuhusu ubora wa IDF na Mosad.Leo kidogo tutaacha yom kippur na kuzungumzia kachero code number 448 na sera yake""KUUA KWANZA MAJADILIANO BAADAE"".Karibu sana tuendelee
 
Karibu mzee wangu tuendelee na huko mbele tutazungumzia jinsi gani majeshi ya Egypt yalivyokua imara kuweza kuwazuia wanajeshi wa IDF kilometa 8 kutoka Ismailia kwa ufanisi mkubwa.Leo tunamjadili kachero wa Mossad 448 na sera zake tano.
 
Upo sahii mkuu tuendelee na mada kujadili ubora wa IDF na Mossad
 
Karibu tuendelee mzee wangu.Nimekuwekea hiyo picha sababu huyo jamaa kuna maelezo yake anaitwa 448.
 
Majasusi na makachero waga wanaficha sura na majina na kila aina ya utambulisho wao ila 448 picha yake moja ilipatikana na ningependa tumzungumzie huyu
 

Attachments

  • Screenshot_20230210-125853.png
    147 KB · Views: 6
Majasusi na makachero waga wanaficha sura na majina na kila aina ya utambulisho wao ila 448 picha yake moja ilipatikana na ningependa tumzungumzie huyu
Nelson...
Hayo unayoandika umepata wapi?
Vitabuni au ulikuwako?

Yote uliyoweka hapa nimeyakuta Wikipedia.

Unajua mimi mtaalamu katika historia.

Hayo unayoandika mimi nimeyasoma zaidi ya miaka 40 iliyopita.

Nayajua vizuri sana.

Sasa huwezi kunakili mambo ukatuwekea hapa kama ya kwako.

Tupe rejea.
 
Karibu mzee wangu tuendelee na huko mbele tutazungumzia jinsi gani majeshi ya Egypt yalivyokua imara kuweza kuwazuia wanajeshi wa IDF kilometa 8 kutoka Ismailia kwa ufanisi mkubwa.Leo tunamjadili kachero wa Mossad 448 na sera zake tano.
Nelson...
Hii si habari mpya yote hayo yanajulikana.

Vipi wewe unataka kueleza haya kama kitu kipya?
 
Nelson...
Unauchinja uzi huu kwa mkono wako mwenyewe.

Wanajeshi gani watakuja JF kuleta stori hizi?

Wewe "mtaalamu wa medani hizi."
Hebu punguza vituko.

Unasababisha tucheke.

Idara yako unayofanyia kazi ndiyo imekutuma JF?

Kama shida yako ni kutambulikana umechagua njia mbovu kufikia lengo lako.

Yule jamaa anasema dawa yako ni kukuondolea pazia aweke hapa picha yako na tangazo.
 
Nelson...
Hii si habari mpya yote hayo yanajulikana.

Vipi wewe unataka kueleza haya kama kitu kipya?

Hapana Mzee,hapa napingana na wewe. Inawezekana wewe unayajua ni vizuri zaidi lakini hii haizuii yeye kutuwekea ili wengine hapa tuyajue kama wewe pia hata kama si kitu kipya kwako.
 
Mzee kwa umri wako nilitegemea kabisa ungekuwa na uwezo mkubwa wa kuhimili mijadala bila kutoa kejeli za aina hii.

Naona umeamua kuitumia hiyo picha kama silaha ya kumtishia mleta mada. Kwamba uvumilivu wa kujibishana kwa hoja umekuishia umeamua kutishia kuweka picha? Ningekuwa mimi ni Jacob ningekuruhusu wewe na huyo jamaa muweke hiyo picha.

Moderator Paw hii siku hizi inaruhusiwa hapa JF?
 
Hii mada ilikuwa nzuri sana na ingekuwa uzi bora kuwahi kuandikwa ndani ya jf.

Lakini mleta mada ame uharibu kwa sababu kila ukichangia badala ajibu hoja za ulicho kiandika ana anza kukuambia eti sijui hujui chochote kuhusu jeshi kwa sababu ww sio mwana jeshi ila yy ndo anajua kwa sababu ni mwana jeshi.

Na ndio maana unaona watu uzi wameutelekeza.
 
Nyamizi,
Nitaanza na hili la uvumilivu.
Hili linajijibu lenyewe ikiwa wewe uko muda mrefu hapa jamvini hivyo unanijua.

Ikiwa ni mgeni nakuomba rejea kwa yote Nelson aliyokuwa akiniandikia kuhusu ushiriki wangu katika Mwembechai, kushinikiza Tanzania iwe nchi ya Kiislam na kuingi OIC.

Soma majibu yangu kwake.
Kejeli.

Sijamkejeli.

Nimempa tahadhari ya maneno yake kuhusu "impersonation," kujifanya usichokuwa.

Hii ni jinai.
Huenda yeye hajui.

Jeshi tulilonalo sote tunalijua na baadhi ya wakuu wake ngazi za juu kabisa wengine tumesoma darasa moja na sasa ni wastaafu.

Halikadhalika katika huko kwengine ni hivyo hivyo.

Yeye anajinasibisha na vyombo hivi na kuandika uongo hadharani.

Aliyeleta picha yake nilimuuliza kaipataje.

Hapo ndipo mimi na wenzangu tulipovunjika mbavu.

Picha yake kaiweka hapa.
Ushauri wangu kwako.

Hii mara ya pili unakuja kwangu kumtetea.

Mwenyewe yuko kimya.
Unajua sababu yake?

Jambo zuri kumtetea.
Sasa zungumzanae.

Nelson kafungua uzi mpya Jukwaa la Siasa mada yake ni CCM.
 
Kwa nini Israel walimuua Ariel Sharon?? Kwa nini walimpa sumu??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Pengine kweli anaweza kuwa siyo Militally analyst mzuri lakini ndiyo halali sasa mtu kila wakati awe anatishia kuwa ataweka picha yake kisa hapendezwi na michango ya mtoa mada?

Ni busara zaidi kuutelekeza uzi kuliko kutoa vitisho visivyokuwa na maana sana vya kuweka picha ya mtu.Sheria za JF zipo wazi kabisa ni marufuku ku expose Identity ya mtu,ukiona mada haina maana kwako unaachana nayo na maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…