IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nyamizi,
Picha hiyo hakika haina maana.
Ilikuwa ni kumzindua ndugu yetu awe mkweli kuhusu haya mambo ya jeshi na ukachero.

Wewe umecheka kama nilivyocheka mimi na wenzangu.
Tuendelee na mada mzee wangu ambayo inasema ubora wa IDF katika uwanja wa vita.
 
Nelson...
Copy cat.

Stori hii imetoka wapi.
Kitabuni, kahadithiwa au alishuhudia?

Kila kitu kinatakiwa kionyeshwe source yake.

Hivyo ndivyo itakiwavyo.
Hubandiki tu maneno.

Kitabu hiki soma maneno katika cover ya kitabu.

Lakini ukitaka kufaidi kalamu ya Mohamed Heikal ikiwa humjui kwanza anza na Google upate kumjua.

Heikal kavieleza vizuri Vita Vya Yom Kippur.

Msomi atamsoma Heikal na ikiwa anataka kutumia aliyosema katika kitabu chake atatumia na ataeleza kuwa huyo ni Heikal.

Kawaida ya msomi yoyote yule hawi na kauli moja wala hawezi kuitumia Wikipedia kama chanzo cha taarifa yote kwani uandishi wa Wikipesia ni tofauti na uandishi wa kitabu.

Did Egypt defeat Israel in 1973?

Image result

The Israelis felt defeated by the Egyptian victory of Oct. 6, 1973. It wasn't just a defeat in battle but defeat in the face of the biggest threat to its existence in its 25 years of being. During that time, Israel feared for the fate of its people and its own existence as a state.

(Google Search)

1504.jpg
Imetoka sehemu husika ila sio sehemu za kwenye mihadhara ya wanazuoni au vyuoni au kwenye nyumba za ibada au kwenye majukwaa ya itikadi za kisiasa au kidini.Wataalamu wa medani hizi tunakaa na wahusika wa sehemu inayojadiliwa na kuchambua haya mambo kitaalamu.Karibu sana mzee wangu tuendelee
 
Leo tuachane kidogo na yom kippur tutaendelea baadae na tumzungumzie kachero na mwanajeshi code number ""448"" kutoka MOSSAD na sera yake ya akifa myahudi mmoja basi wafe maadui kumi.Je ni nani huyu na alikua na nafasi gani katika IDF na Mossad????
 
Nyamizi,
Ikiwa unaona hana chuki na Uislam sawa.
Lakini kila akizunguka atarudi kwenye nyumba za ibada.

Atarudi kwa Waarabu.

Mimi si mjinga najua kusoma katikati ya mistari na nayasikia maneno ambayo hayakusemwa.

Hayo mambo ya kujadili mada wala sihitaji kuhimizwa.

Nipo hapa na utanisoma In Shaa Allah.
Mzee wangu tuendelee na mada kuhusu ubora wa IDF na Mosad.Leo kidogo tutaacha yom kippur na kuzungumzia kachero code number 448 na sera yake""KUUA KWANZA MAJADILIANO BAADAE"".Karibu sana tuendelee
 
Nyamizi,
Hakika.

Nimefika Ismailia.
Nimefika Suez Canal.

Suez Canal ilifungwa wakati wa vita.

Nilibahatika kuona filamu ya Suez Canal ilikuwaje wakati wa vita vyote Six Day War na Yom Kippur.

Filamu hii nimeiona hapo Suez.
Nimefika Bar Lev Line.

Nimepita njia ya jangwani Cairo hadi Alexandria kisha njia ya mjini Alexandria kupita Port Said hadi Damieta mpaka Cairo.

Hiyo njia ya jangwani ni kambi za jeshi njia nzima.
Yako mengi siwezi kueleza yote.

Ikutoshe tu kuwa mimi si mgeni katika hili tunalojadili.
Karibu mzee wangu tuendelee na huko mbele tutazungumzia jinsi gani majeshi ya Egypt yalivyokua imara kuweza kuwazuia wanajeshi wa IDF kilometa 8 kutoka Ismailia kwa ufanisi mkubwa.Leo tunamjadili kachero wa Mossad 448 na sera zake tano.
 
Huyo aliyekupa picha yake ni mtu wa ajabu sana.Kwa hiyo mtu anashindwa kujadili hoja anakimbilia Inbox kukupatia picha ya mtoa mada? Imebidi nicheke sana kwa haya maelezo[emoji3][emoji3].

Mzee wetu hebu tujikite na mada.Habari za picha za watu sidhani kama zina maana sana hapa.
Upo sahii mkuu tuendelee na mada kujadili ubora wa IDF na Mossad
 
Nelson...
Haya unyoeleza hapa wewe umenakili kutoka Wikipedia.
Hapana tabu lakini sheria inakutaka ufanye acknowledgement.

Atakae kusoma haya aingie Google afanye search: Yom Kippur War.
Hapo ndipo aliponakili.

Huhitaji mtu anakili aje kukuwekea hapa.

Anwar Sadat kaeleza vizuri Vita Vya Yom Kippur katika kitabu cha maisha yake "In Search of Identity."
Karibu tuendelee mzee wangu.Nimekuwekea hiyo picha sababu huyo jamaa kuna maelezo yake anaitwa 448.
 
Majasusi na makachero waga wanaficha sura na majina na kila aina ya utambulisho wao ila 448 picha yake moja ilipatikana na ningependa tumzungumzie huyu
 
Attachments

  • Screenshot_20230210-125853.png
    Screenshot_20230210-125853.png
    147 KB · Views: 6
Majasusi na makachero waga wanaficha sura na majina na kila aina ya utambulisho wao ila 448 picha yake moja ilipatikana na ningependa tumzungumzie huyu
Nelson...
Hayo unayoandika umepata wapi?
Vitabuni au ulikuwako?

Yote uliyoweka hapa nimeyakuta Wikipedia.

Unajua mimi mtaalamu katika historia.

Hayo unayoandika mimi nimeyasoma zaidi ya miaka 40 iliyopita.

Nayajua vizuri sana.

Sasa huwezi kunakili mambo ukatuwekea hapa kama ya kwako.

Tupe rejea.
 
Karibu mzee wangu tuendelee na huko mbele tutazungumzia jinsi gani majeshi ya Egypt yalivyokua imara kuweza kuwazuia wanajeshi wa IDF kilometa 8 kutoka Ismailia kwa ufanisi mkubwa.Leo tunamjadili kachero wa Mossad 448 na sera zake tano.
Nelson...
Hii si habari mpya yote hayo yanajulikana.

Vipi wewe unataka kueleza haya kama kitu kipya?
 
Imetoka sehemu husika ila sio sehemu za kwenye mihadhara ya wanazuoni au vyuoni au kwenye nyumba za ibada au kwenye majukwaa ya itikadi za kisiasa au kidini.Wataalamu wa medani hizi tunakaa na wahusika wa sehemu inayojadiliwa na kuchambua haya mambo kitaalamu.Karibu sana mzee wangu tuendelee
Nelson...
Unauchinja uzi huu kwa mkono wako mwenyewe.

Wanajeshi gani watakuja JF kuleta stori hizi?

Wewe "mtaalamu wa medani hizi."
Hebu punguza vituko.

Unasababisha tucheke.

Idara yako unayofanyia kazi ndiyo imekutuma JF?

Kama shida yako ni kutambulikana umechagua njia mbovu kufikia lengo lako.

Yule jamaa anasema dawa yako ni kukuondolea pazia aweke hapa picha yako na tangazo.
 
Nelson...
Hii si habari mpya yote hayo yanajulikana.

Vipi wewe unataka kueleza haya kama kitu kipya?

Hapana Mzee,hapa napingana na wewe. Inawezekana wewe unayajua ni vizuri zaidi lakini hii haizuii yeye kutuwekea ili wengine hapa tuyajue kama wewe pia hata kama si kitu kipya kwako.
 
Nelson...
Unauchinja uzi huu kwa mkono wako mwenyewe.

Wanajeshi gani watakuja JF kuleta stori hizi?

Wewe "mtaalamu wa medani hizi."
Hebu punguza vituko.

Unasababisha tucheke.

Idara yako unayofanyia kazi ndiyo imekutuma JF?

Kama shida yako ni kutambulikana umechagua njia mbovu kufikia lengo lako.

Yule jamaa anasema dawa yako ni kukuondolea pazia aweke hapa picha yako na tangazo.
Mzee kwa umri wako nilitegemea kabisa ungekuwa na uwezo mkubwa wa kuhimili mijadala bila kutoa kejeli za aina hii.

Naona umeamua kuitumia hiyo picha kama silaha ya kumtishia mleta mada. Kwamba uvumilivu wa kujibishana kwa hoja umekuishia umeamua kutishia kuweka picha? Ningekuwa mimi ni Jacob ningekuruhusu wewe na huyo jamaa muweke hiyo picha.

Moderator Paw hii siku hizi inaruhusiwa hapa JF?
 
Hii mada ilikuwa nzuri sana na ingekuwa uzi bora kuwahi kuandikwa ndani ya jf.

Lakini mleta mada ame uharibu kwa sababu kila ukichangia badala ajibu hoja za ulicho kiandika ana anza kukuambia eti sijui hujui chochote kuhusu jeshi kwa sababu ww sio mwana jeshi ila yy ndo anajua kwa sababu ni mwana jeshi.

Na ndio maana unaona watu uzi wameutelekeza.
 
Nitaanza na hili la uvumilivu.
Hili linajijibu lenyewe ikiwa wewe uko muda mrefu hapa jamvini hivyo unanijua.

Ikiwa ni mgeni nakuomba rejea kwa yote Nelson aliyokuwa akiniandikia kuhusu ushiriki wangu katika Mwembechai, kushinikiza Tanzania iwe nchi ya Kiislam na kuingi OIC.

Soma majibu yangu kwake.
Kejeli.

Sijamkejeli.

Nimempa tahadhari ya maneno yake kuhusu "impersonation," kujifanya usichokuwa.

Hii ni jinai.
Huenda yeye hajui.

Jeshi tulilonalo sote tunalijua na baadhi ya wakuu wake ngazi za juu kabisa wengine tumesoma darasa moja na sasa ni wastaafu.

Halikadhalika katika huko kwengine ni hivyo hivyo.

Yeye anajinasibisha na vyombo hivi na kuandika uongo hadharani.

Aliyeleta picha yake nilimuuliza kaipataje.

Hapo ndipo mimi na wenzangu tulipovunjika mbavu.

Picha yake kaiweka hapa.
Ushauri wangu kwako.

Hii mara ya pili unakuja kwangu kumtetea.

Mwenyewe yuko kimya.
Unajua sababu yake?

Jambo zuri kumtetea.
Sasa zungumzanae.

Nelson kafungua uzi mpya Jukwaa la Siasa mada yake ni CCM.
 
Ariel Sharon kuna war structure ya IDF aliibuni mwaka 1982 na waliitumia IDF in urban war in beirut ilikua inahitaji akili nyingi kuweza kuelewa aliwaza nini kubuni vile!!!Heshima yake sababu ni mwanajeshi asiyeogopa kukabiliana na adui mazingira yoyote yale!!!
Kwa nini Israel walimuua Ariel Sharon?? Kwa nini walimpa sumu??

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Hii mada ilikuwa nzuri sana na ingekuwa uzi bora kuwahi kuandikwa ndani ya jf.

Lakini mleta mada ame uharibu kwa sababu kila ukichangia badala ajibu hoja za ulicho kiandika ana anza kukuambia eti sijui hujui chochote kuhusu jeshi kwa sababu ww sio mwana jeshi ila yy ndo anajua kwa sababu ni mwana jeshi.

Na ndio maana unaona watu uzi wameutelekeza.
Pengine kweli anaweza kuwa siyo Militally analyst mzuri lakini ndiyo halali sasa mtu kila wakati awe anatishia kuwa ataweka picha yake kisa hapendezwi na michango ya mtoa mada?

Ni busara zaidi kuutelekeza uzi kuliko kutoa vitisho visivyokuwa na maana sana vya kuweka picha ya mtu.Sheria za JF zipo wazi kabisa ni marufuku ku expose Identity ya mtu,ukiona mada haina maana kwako unaachana nayo na maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom