Nelson...
Copy cat.
Stori hii imetoka wapi.
Kitabuni, kahadithiwa au alishuhudia?
Kila kitu kinatakiwa kionyeshwe source yake.
Hivyo ndivyo itakiwavyo.
Hubandiki tu maneno.
Kitabu hiki soma maneno katika cover ya kitabu.
Lakini ukitaka kufaidi kalamu ya Mohamed Heikal ikiwa humjui kwanza anza na Google upate kumjua.
Heikal kavieleza vizuri Vita Vya Yom Kippur.
Msomi atamsoma Heikal na ikiwa anataka kutumia aliyosema katika kitabu chake atatumia na ataeleza kuwa huyo ni Heikal.
Kawaida ya msomi yoyote yule hawi na kauli moja wala hawezi kuitumia Wikipedia kama chanzo cha taarifa yote kwani uandishi wa Wikipesia ni tofauti na uandishi wa kitabu.
Did Egypt defeat Israel in 1973?
The Israelis felt defeated by the Egyptian victory of Oct. 6, 1973. It wasn't just a defeat in battle but defeat in the face of the biggest threat to its existence in its 25 years of being. During that time, Israel feared for the fate of its people and its own existence as a state.
(Google Search)