IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Nelson...
Nimesomeshwa Chuo Kikuu Das Kapital.
Unamjua mwandishi na mrengo wake?

Ungepita Chuo Kikuu ungefundishwa kitu kinaitwa, ''Values.''
Kwa nini waandishi wanaandika wanayoandika.

Ungefundishwa umuhimu wa wasomi kughitilafiana.

Dots zinatakiwa ziwe 3 kama hivi: ...
Napenda nikueleze kuwa kisa cha Cohen ni cha zamani sana.

Hiki kitabu kina mapya:

Hapo ndipo nilipokinunua
Umejifunza nini?
''Fulani'' siyo ''flani.''
 
Ukweli huu warusi walijitahidi sana kuuficha na kipindi hicho hakuna social media's.......watu wengi hawakujua
 
Nelson...
Huwezi kuwa kazi yako ni kunakili kisha huweki hata source.

Ungepitia elimu ya chuo kikuu wangekufundisha haya na ni wakati gani unaweza kuleta kile ulichosoma kwengine.
Mzee wangu kwahiyo chuo kikuu umesoma peke yako......au unamaanisha nn???
 
Tatizo mzee wangu......unataka na mimi nianze kuonyesha passport yangu......na kila niliposafiri.......mm sipo hivyo mzee wangu.
Mm waga nahoji wahusika kwanza kabla ya kusoma.
Na hilo linanisaidia kupata ukweli
 
Nobody predict movements and counter offensive of IDF in Egyptian army except Gen Abdel Ghan el Gamasy..........na alimtaadharisha Sadat aache propaganda akubali cease fire.
Sababu mji wa Cairo ulikua tayari kwenye range ya mizinga ya IDF.
 
Tatizo mzee wangu......unataka na mimi nianze kuonyesha passport yangu......na kila niliposafiri.......mm sipo hivyo mzee wangu.
Mm waga nahoji wahusika kwanza kabla ya kusoma.
Na hilo linanisaidia kupata ukweli
Nelson...
Mimi nimesafiri kwa ajili ya elimu vinginevyo ningeishia Kariakoo.

Weka dot 3 ...
Unajilazimisha ujinga.

Prof. Ali Mazrui, Kampala

Prof. Mohamed Bakari, Istanbul

Prof. Michael Lofchie, Iowa City

Prof. Suleiman Nyang, Ibadan​
Nelson...
Sijakuonyesha pasi zangu.
Passport zangu ni nyingi sana.

Hawa ni wasomi wabobezi katika historia ya Afrika na tunafahamiana.
Baadhi wametangulia mbele ya haki.

Mimi nimesafiri kwa ajili ya kusoma au kusomesha.
Sijapata kununua tiketi ya ndege ila mara moja maishani mwangu.

Safari zote ni mialiko.

Tatizo mzee wangu......unataka na mimi nianze kuonyesha passport yangu......na kila niliposafiri.......mm sipo hivyo mzee wangu.
Mm waga nahoji wahusika kwanza kabla ya kusoma.
Na hilo linanisaidia kupata ukweli
Nelson...
Sahihisha weka dot 3
Usionyeshe pasi tuonyeshe elimu yako.
 
IDF hii hii inayopambana na Hamas na Mossad hawa ambao mpaka leo mateka wao hawajui walipo au wengine ?

Hawa kwa ground hawawezi kupigana hata na TPDF asubuhi mapema tunawatoa kamasi.
 
IDF hii hii inayopambana na Hamas na Mossad hawa ambao mpaka leo mateka wao hawajui walipo au wengine ?

Hawa kwa ground hawawezi kupigana hata na TPDF asubuhi mapema tunawatoa kamasi.
South...
Mfano wa TPDF haufai.
Jeshi letu linaweza kupambana na adui yoyote.

Tafadhali futa sentensi hiyo.
 
South...
Mfano wa TPDF haufai.
Jeshi letu linaweza kupambana na adui yoyote.

Tafadhali futa sentensi hiyo.
Jeshi lolote duniani linaweza kupambana na mpinzani yoyote yule.
NB: KUMBUKA KWENYE UWANJA WA VITA MPINZANI HUITWA ADUI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…