Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson...Mzee wangu to be honest tatizo ni moja ulilonalo......vitabu vyako umeandika mapendekezi yako kiimani,kitamaduni,kihisia na kisiasa.....na mimi naujua mrengo wako......hivyo napata ukakasi kuvisoma....sababu wewe sio mwandishi huru.
Unaegemea upande flani mzee wangu.
Nimesomeshwa Chuo Kikuu Das Kapital.
Unamjua mwandishi na mrengo wake?
Ungepita Chuo Kikuu ungefundishwa kitu kinaitwa, ''Values.''
Kwa nini waandishi wanaandika wanayoandika.
Ungefundishwa umuhimu wa wasomi kughitilafiana.
Dots zinatakiwa ziwe 3 kama hivi: ...
Napenda nikueleze kuwa kisa cha Cohen ni cha zamani sana.
Hiki kitabu kina mapya:
Hapo ndipo nilipokinunua
Umejifunza nini?