IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Mkuu samahani nikuulize.
Kwani drone kudunguliwa ni kitu cha ajabu?
In yom Kippur war jeshi la msiri lilidungua ndege takribani 103 za IDF.
 
Mzee wangu.....sema hao ni wasomi wa elimu za wakoloni.......sioni mbantu hata mmoja hapo.
Kuanzia majina hadi utamaduni na imani za kiafrika.
Hao ni mazao ya wakoloni wamagharibi na wakoloni wa mashariki.
NB:NILIKOTOKEA KWENYE HIMAYA ZA WANYORO NI MWIKO KWA MWANAUME KUKUBALI MIALIKO YA KULIPIWA KILA KITU BABU ZETU..HASA MTUKUFU KINTU ALITUKATAZA
 

Professor Gwajima hawafundishi namna ya kuandika?
 
Unahama mada mzee mwezangu
 
Nimeamini msemo wa wahenga kuhusu kuchutama,hongera kwa kuchutuma kuficha sehemu nyingine za siri zisiwe wazi!Uwe na wakati mwema!
 
Jagina,
Akili yake inakataa kukubali kuwa niko kazini napewa tiketi ya ndege, malazi na nalipwa fedha kwa ujuzi nilionao.

Ujuzi niliopata kwa kusoma na kupasi mitihani yangu.

Chuo kikinialika kinanilipa kwa elimu yangu.

Nisingeweza kuzunguka kote huko laiti nikialikwa inabidi nijilipie nauli, malazi nk.

Haya hayakubali kuingia akilini kwake.

Anaona mimi siko kazini na sistahili kunufaika kwa elimu niliyonayo.

Kwa kuwa yeye hajaweza kufikia kiwango hichi basi mimi nisiwe hivi nilivyo.

Siwezi kulipwa kwa kisomo changu.

Nafadhiliwa.

Namwekea picha hapo chini aangalie niko kazini.

Narekodi kipindi cha historia ya David Livingstone kwa ajili ya BBC Bush House, London.

Huu ni mwaka wa 1991.
Kwa kazi hii BBC wanalipa fedha.


BBC Glasgow, Scotland 1991
 
Nimeamini msemo wa wahenga kuhusu kuchutama,hongera kwa kuchutuma kuficha sehemu nyingine za siri zisiwe wazi!Uwe na wakati mwema!
Mkuu mbona unacatch feeling..........uwanja upo huru.....kuchangia.
Ndio maana nikaleta huu uzi since last year
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…