Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
- Thread starter
- #901
Elezea kwa kirefu mkuu......karibuIDF na Mossad ndio hizi tunazo ziona sio visasili vya kale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea kwa kirefu mkuu......karibuIDF na Mossad ndio hizi tunazo ziona sio visasili vya kale
Mkuu samahani nikuulize.Alquds wadondosha ndege ya Israel jijini Gaza. Mapigano bado yaendelea katikati ya jimbo hilo
Ndege isiyo na rubani au droni imedondoshwa leo kwenye jiji la Gaza ambalo jeshi la Israel lilitangaza zamani kulidhibiti eneo hilo. Habari hizo zimetolewa na msemaji ya kundi la Alquds ambalo ni tawi la kijeshi la harakati za Islamic jihad. Droni hiyo kwa mujibu wa aljazeera iliyowanakili...www.jamiiforums.com
Kwamba IDF na Mossad ni wakawaida kama yalivyo majeshi mengine ya kawaida duniani hiyo ya jeshi bora kabisa duniani ni story za babu akisimulia wajukuu zake.Elezea kwa kirefu mkuu......karibu
Mzee wangu.....sema hao ni wasomi wa elimu za wakoloni.......sioni mbantu hata mmoja hapo.Nelson...
Mimi nimesafiri kwa ajili ya elimu vinginevyo ningeishia Kariakoo.
Weka dot 3 ...
Unajilazimisha ujinga.
View attachment 2937949Nelson...
Prof. Ali Mazrui, Kampala
View attachment 2937950
Prof. Mohamed Bakari, Istanbul
View attachment 2937951
Prof. Michael Lofchie, Iowa City
View attachment 2937952
Prof. Suleiman Nyang, Ibadan
Sijakuonyesha pasi zangu.
Passport zangu ni nyingi sana.
Hawa ni wasomi wabobezi katika historia ya Afrika na tunafahamiana.
Baadhi wametangulia mbele ya haki.
Mimi nimesafiri kwa ajili ya kusoma au kusomesha.
Sijapata kununua tiketi ya ndege ila mara moja maishani mwangu.
Safari zote ni mialiko.
Elezea kwa kirefu mkuu...kama wachangiaji wengine walivyochangia kwa hoja hai.Kwamba IDF na Mossad ni wakawaida kama yalivyo majeshi mengine ya kawaida duniani hiyo ya jeshi bora kabisa duniani ni story za babu akisimulia wajukuu zake.
Mm nalipa hela naenda nitakapo.Nelson...
Unalikwa kwenye vyuo au unapanda ndege unakwenda utakapo?
Kweli?
Hoja gani unayotaka wewe ?Elezea kwa kirefu mkuu...kama wachangiaji wengine walivyochangia kwa hoja hai.
Mada inasemaje hapo juu mkuuHoja gani unayotaka wewe ?
Mzee wangu to be honest tatizo ni moja ulilonalo......vitabu vyako umeandika mapendekezi yako kiimani,kitamaduni,kihisia na kisiasa.....na mimi naujua mrengo wako......hivyo napata ukakasi kuvisoma....sababu wewe sio mwandishi huru.
Unaegemea upande flani mzee wangu.
Hivi wewe ni mmoja wa wasabato uliyekwenda Airport bila passport wala ticket??Mm nalipa hela naenda nitakapo.
Labda nikose viza.
Au nihofie usalama wangu
Unahama mada mzee mwezanguNelson...
Nimesomeshwa Chuo Kikuu Das Kapital.
Unamjua mwandishi na mrengo wake?
Ungepita Chuo Kikuu ungefundishwa kitu kinaitwa, ''Values.''
Kwa nini waandishi wanaandika wanayoandika.
Ungefundishwa umuhimu wa wasomi kughitilafiana.
Dots zinatakiwa ziwe 3 kama hivi: ...
Napenda nikueleze kuwa kisa cha Cohen ni cha zamani sana.
Hiki kitabu kina mapya:
''Fulani'' siyo ''flani.''
Afu hayo mambo ya kulipiana mpaka nauli.......mm kijana wako siyawezi.Nelson...
Unalikwa kwenye vyuo au unapanda ndege unakwenda utakapo?
Kweli?
Unahama mada mzee mwezangu
Afu hayo mambo ya kulipiana mpaka nauli.......mm kijana wako siyawezi.
Naogopa sana hisani za mabepari mzee wangu.
Mada inasemaje hapo juu mkuu
Nimeamini msemo wa wahenga kuhusu kuchutama,hongera kwa kuchutuma kuficha sehemu nyingine za siri zisiwe wazi!Uwe na wakati mwema!Mkuu nikaze mshipa wapi......uzi wangu ni kuhusu ubora wa IDF na MOSSAD......waarabu wa hamas waliingizwa mkenge na makachero wa kituruki October 07.........wakajaa kwenye mitego ya MOSSAD......sasa hv wanakula dozi taratibu.......mpaka inafikia hatua wanavua magwanda ya kijeshi.....na kukimbilia kujificha kwa wanawake na watoto 😂🤣🤣🤣🤣.
SHEREHE YOTE YA OCTOBER 07 IMEKUA KILIO......WANALILIA CEASE FIRE 🤣😂😂
Mkuu mbona unacatch feeling..........uwanja upo huru.....kuchangia.Nimeamini msemo wa wahenga kuhusu kuchutama,hongera kwa kuchutuma kuficha sehemu nyingine za siri zisiwe wazi!Uwe na wakati mwema!