Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
Kwani wanajeshi si raia?Asante kaka kwa maoni yako kama raia ila tuchambue kama wadau wa kijeshi karibu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wanajeshi si raia?Asante kaka kwa maoni yako kama raia ila tuchambue kama wadau wa kijeshi karibu sana
Nashukuru kwa maoni yao mzee wangu tuendelee na mada yetu ya ubora wa jeshi la IDF na Mossad katika uwanja wa mapambanoNelson...
Hadithi za Alfu Lela Ulela na Siku Alfu na Moja.
Brother, mbona kila anaetoa maoni tofauti na mtazamo wako unaishia kumuita "raia"?Asante kaka kwa maoni yako kama raia ila tuchambue kama wadau wa kijeshi karibu sana
Mimi najadili kwa upande wa mtazamo wa kijeshi sababu najadili mada ya kijeshi.Lakini nawashukuru sana michango yao kwa mtizamo wa kiraia ila ningependa tujadili kwa mitazamo ya kijeshi mada hii.Karibu tujadili kaka kwa mtazamo wa kijeshi ndugu yangu kama nilivyofanya kuhusu yom kippur event,s kumuhusu kamanda Ariel Sharon siku nne baada ya vita vya yom kippur kuanza nimeelezea hapo juuBrother, mbona kila anaetoa maoni tofauti na mtazamo wako unaishia kumuita "raia"?
Can't we discuss facts without calling eachother "names"?
Let's debate the facts!
Umesema IDF ni jeshi bora zaidi, wanaopinga wanatakiwa kupewa facts ili waelewe. Sio kuitwa "raia".
As a matter of fact, wewe pia ni "raia".
Mkuu ninasubiri sana hii,nakumbuka kwenye Documentary Wazazi wake walivyoambiwa "Yoni is no more" na mdogo wake Benjamini walivyopokea ile taarifa na ilivyowaumiza.Nilizidi kumchukia zaidi Idd Amin.Hii habari ukipata nafasi ya kukutana na wakufunzi wa mambo ya kijeshi watakuelezea kwa undani zaidi!!!Kwenye movie na series kuna mambo mengi yameachwa au kuondolewa kwa sababu za kijasusi na kiusalama zaidi,,Nikitulia nitakuja na makala zaidi kuhusu operation ambazo Jonathan Ntenyahu""Lion"alishiriki kwa ufanisi mkubwa kuziasisi au kuziongoza kwa niaba ya IDF!!!Ninayoweza nitaandika japo sio mwandishi mzuri kitaaluma na nisiyoweza nitaacha kwa sababu za kiusalama zaidi,maana hizi mada za kijeshi zinahitaji uangalifu wa kina
Ndiyo huyu walimwita kwa kifupi Yoni?
Kuna askari mstaafu niliwahi kuona mahojiano yake na kituo kimoja cha televisheni pale Kampala alikua anajinadi kua yeye ndie aliempiga risasi zilizomjeruhi Yoni na kumsababishia umauti.Na alipongezwa na Amin na kupandishwa cheo kwa mujibu wa maelezo yake na mwandishi wa habari ileMkuu ninasubiri sana hii,nakumbuka kwenye Documentary Wazazi wake walivyoambiwa "Yoni is no more" na mdogo wake Benjamini walivyopokea ile taarifa na ilivyowaumiza.Nilizidi kumchukia zaidi Idd Amin.
Unawapima kwa vita vyake na Hamasi. Ili tulione bora alianzishe pale na muirani basiKamanda wa IDF Ariel Sharon katika vita vya yom kippur mwaka 1973 alingamua kitu kimoja ambacho ni cha muhimu sana kama unapigana usiku au wakati wa dhoruba za mchanga za jangwani.Lazima utambue umbali wa adui au mpinzani wako toka pale mlipo,na lazima ujue vifaru bila zana shrikishi si salama kuvitegemea ila vitumike kama decoy za kuwahadaa adui wanapokua angani.Basi akaja na mbinu hii naielezea kwa kiswahili fasaha nieleweke.Rudi nyuma ukitengeneza circle postion core,s na red line,s coverage,s kwa askari wa miguu ili kupunguza majeruhi na hasara na muache adui aone eneo lote lipo wazi bila kizuizi ili asonge mbele wakati huo huo usiruhusu awe comfortable hewani hata sekunde moja ili kuwalinda askari wa miguu wasidhurike.Ndege za 165- A4 Skyhawks zilifaa sana kwenye mbinu hii ya kumnyima adui uhuru angani mda wote kwenye jangwa la sinai ila kwa sasa kama ikitokea vita zitatumika F-35 Lightning 2 na multirole fighter jet,s nyingine hasa kama ikitokea vita ya kushitukiza jangwani.Bali itategemea unapigana na nani na hali ya uwezo wake kwenye uwanja wa mapambano wakati husika.Hii mbinu ni rahisi kumzunguka adui wakati haupigani nae na kumlazimisha asalimu amri pale tu main line supply yake ikiisha baada ya kundi sindikizi kushindwa kumfikia maana circle postion core,s zinageuka zinakua strong resistance line.Imeasisiwa na Ariel Sharon kamando mwandamizi wa IDF kipindi hicho na ni mbinu yenye matokeo chanya uwanja wa mapambano sababu unapunguza hatari na unazuia mjengeo wa vikosi pinzani vya nyuma kwa wakati mmoja hasa unapokua jangwani na umeshitukizwa katika mapigano.Aliitumia baada ya kuibuni mpaka ikamsaidia akavuka Suez Canal karibia na Ismailia kwa kutegemea tu military supply za askari wa miamvuli wasiozidi 300+. Jambo ambalo ni nadra na risk ila yeye alifanya kuhakikisha vikosi vya makamanda wengine akiwemo Jonathan""Yoni au Lion" vinapunguziwa nguvu na makali ya adui kwenye jangwa la sinai ili visonge mbele mpaka alipo yeye.Lakini kuonyesha ubora na upekee wa Jonathan Ntenyahu"Yoni au Lion" kama kamanda wa IDF ni kua alishiriki kama kiongozi kupigana na adui pande zote mbili za uwanja wa vita namaanisha upande wa kuwakabili wamsiri na upande wa kuwakabili wasiriya kwenye uwanda wa vilima vya Golan.Huu ndio ubora wa mbinu za kivita ambazo wachambuzi wa kijeshi tunalipa jeshi husika IDF sifa zake kitaalamu sio kishabiki.Suala sio kupambana tu bali kupambana kwa kutumia mbinu zenye tija na kua jeshi bunifu wakati wa vita na jeshi la IDF sifa hii ndio msingi wake katika ngazi zote na vitengo vyake tofauti.Nikipata nafasi nitaelezea jinsi makamanda wa IDF walivyoasisi mfumo wa kupigana na vifaru kwa ufasaha bila kutegemea usaidizi wa angani katika kushambulia adui na hii ilitokea katika uwanda wa vilima vya Golan pale mamia ya vifaru vya jeshi la Sriya na Israel vilipokutana uso kwa uso 1973.Na kuweka rekodi ya mapambano makubwa ya vifaru kuwahi kutokea baada ya vita vikuu vya pili vya dunia
Mkuu sijazungumzia Hamas bali nazungumzia yom kippur war hatua kwa hatua!!Sehemu IDF iliposhinda na sehemu IDF iliposhindwa.Karibu uchangieUnawapima kwa vita vyake na Hamasi. Ili tulione bora alianzishe pale na muirani basi
Katika wale Comandos waliokuja kwenye hiyo operation,kuna watano walirudi tena Uganda nadhani 2020 wakiwa watu wazima sana. Walitembelea uwanja wa Entebbe na wakawa wanaelezea kile walichokifanya usiku ule. Walikutana pia na huyo aliyejinasibu kuwa alimjeruhi Yoni,ni jamaa mmoja mtu wa Kaskazini mwa Uganda huko anatokea Lira au Guru.Niliona pia hayo mahojiano yake.Kuna askari mstaafu niliwahi kuona mahojiano yake na kituo kimoja cha televisheni pale Kampala alikua anajinadi kua yeye ndie aliempiga risasi zilizomjeruhi Yoni na kumsababishia umauti.Na alipongezwa na Amin na kupandishwa cheo kwa mujibu wa maelezo yake na mwandishi wa habari ile
Hiyo unayiita kipuri war muizirael alipigana peke yake bila ya kusaidiwa na baadhi ya nchi za ulaya na marekani??Mkuu sijazungumzia Hamas bali nazungumzia yom kippur war hatua kwa hatua!!Sehemu IDF iliposhinda na sehemu IDF iliposhindwa.Karibu uchangie
Karibu mdau tujadili hiyo kipuri warHiyo unayiita kipuri war muizirael alipigana peke yake bila ya kusaidiwa na baadhi ya nchi za ulaya na marekani??
Niliona habari yao you tube pia...Katika wale Comandos waliokuja kwenye hiyo operation,kuna watano walirudi tena Uganda nadhani 2020 wakiwa watu wazima sana. Walitembelea uwanja wa Entebbe na wakawa wanaelezea kile walichokifanya usiku ule. Walikutana pia na huyo aliyejinasibu kuwa alimjeruhi Yoni,ni jamaa mmoja mtu wa Kaskazini mwa Uganda huko anatokea Lira au Guru.Niliona pia hayo mahojiano yake.
Hebu tupatie na wewe maelezo ya vita vya Hamas MkuuUnawapima kwa vita vyake na Hamasi. Ili tulione bora alianzishe pale na muirani basi
Yes ipo youtubeNiliona habari yao you tube pia...
Israeli mnamsifia bure vita vyake vyote anategemea kusaidiwa kama Ukraine. Hata vita zijazo za Israel anategemea kusaidiwa. Hawezi akasimama pekeyake apambane na mwirani pekeyake HAWEZIKaribu mdau tujadili hiyo kipuri war
Hammasi ni wanaharakati tu lakini mu Israeli ameenda kumlilia bwana yake mmarekani eti hawatangaze hamasi ni kikundi cha ugaidiHebu tupatie na wewe maelezo ya vita vya Hamas Mkuu
Tupatie maelezo ya kina ya Vita vya Hamas na Israel.Haya mengine uliyosema hapo juu hayana maana sana.Hammasi ni wanaharakati tu lakini mu Israeli ameenda kumlilia bwana yake mmarekani eti hawatangaze hamasi ni kikundi cha ugaidi
Hiyo vita mnayoiita kipuri Israeli ilisaidiwa, kuna vita gani nyingine Israel ilipigana kama sio hezibollah na hammasi??Ok,kumbe huna maelezo.Ngoja tuwasome wanaotuletea walau maelezo ya kina.