IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

Mzee wangu mpendwa kwahiyo nikutajie majina ya sources zangu ndani ya IDF za wanajeshi waastaafu???
Nelson,
Source iwe "documented," si mazungumzo ya watu.

Ikiwa source yako ni wanajeshi wastaafu hayo yatabaki kuwa mazungumzo hadi pale yakiwa documented kama ithibati.

Mathalan yawe kwenye nyaraka, paper au kitabu.
Hii sasa ndiyo source.

Mazungumzo na askari wastaafu ni mazungumzo tu kama mazungumzo yoyote yale.

Hizi ndizo sheria za "academics" kote ulimwenguni.

Muhimu ujifunze kwanza kabla ya kuingia katika mijadala.
 
Jonathan alikuwa anaenda frontline sababu alikuwa mwanajeshi na kamanda ila mpika mipango alikuwa Benjamini na wenzie pale head quater Jerusalem ya wizara ya ulinzi ya Israel!!
ukitaka kufurahia Mossad na ushindi wa opereshi zake nunua kitabu kiitwacho THE GREATEST OPERATION OF SAYAREK MAKTAL. kama una jama yako UK EU au USa kinunue uone akiri za hali ya juu za wajukuu wa rebecca.
 
Amazon kinauzwa mkuu au????
 
Nelson,
Source iwe "documented," si mazungumzo ya watu.

Ikiwa source yako ni wanajeshi wastaafu hayo yatabaki kuwa mazungumzo hadi pale yakiwa documented kama ithibati.

Mathalan yawe kwenye nyaraka, paper au kitabu.
Hii sasa ndiyo source.

Mazungumzo na askari wastaafu ni mazungumzo tu kama mazungumzo yoyote yale.

Hizi ndizo sheria za "academics" kote ulimwenguni.

Muhimu ujifunze kwanza kabla ya kuingia katika mijadala.
Mzee wangu mpendwa hayo ni maoni yako ila ukweli upo wazi.Sema tu hiwezi kuukubali kwa kua upo brain washed na tamaduni na dini za kigeni zenye mlengo flani
 
Sawa mzee wangu
Nelson...
Sisi Waislam tunamwamini Mwenyezi Mungu Mmoja aliyeumba kila kitu na kutupa muongozo kupitia Mitume Wake na Vitabu Vyake.

Mtume Muhammad akiwa Mtume wa Mwisho na Kitabu Chake Qu'ran kuwa ndiyo Kitabu Chake Cha Mwisho.

Allah amewaonya Waislam kwa kuwaambia kuwa endapo atatokea mtu kufanya kejeli kwake, yaani kwa dini yake na Kuwepo Kwake Muislam ondoka mahali hapo.

Umeona ulipoleta suala la Dini za Kigeni mimi nimetishika sana na haraka nimekushukuru na kuacha mjadala.

Nilishaona mjadala unaelekea wapi na mwisho utasema maneno gani.
Sikutaka mimi niwe sababu ya Allah na Uislam kukejeliwa.

Ikiwa unataka mjadala na mimi tutafanya lakini usiuguse Uislam kwa kejeli za ''Dini za Kigeni'' na mfano wa meneno kama hayo.

Ndiyo sababu leo unaona lugha hizi ni zenu Wakristo.
Muislam hathubutu.
 
Sijui kiwango cha elimu yako.

Chuo Kikuu chochote somo la kwanza mwaka wa kwanza ''undergraduate '' ni kufundisha kuandika paper.

Hayo niliyokueleza ndiyo mafunzo yenyewe.

Si suala na ''brain wash.''
Brain Wash ni kitu kingine:

''brainwashing, also called Coercive Persuasion, systematic effort to persuade nonbelievers to accept a certain allegiance, command, or doctrine. A colloquial term, it is more generally applied to any technique designed to manipulate human thought or action against the desire, will, or knowledge of the individual.''
(Kutoka Google).

Jifunze kutumia Google utajifunza mengi.

Ni hatari kudhani unajua ilhali huna ujuacho.
 
Sass mzee wangu unakataa ukweli kua afrika hizi dini za kigeni zililetwa na wakoloni wa kiarabu na kizungu.
Lengo tuwe brain washed ili tutawalike kwa urahisi.
 
Mzee wangu una hulika ya kukwepa pointi za hoja kwa mbwembwe nyiingi.
Najua huwezi kukubali adharani kua ulishakuaga Brain washed na tamaduni na imani za wakoloni.Turudi kwenye point ni kua ukimuona mbantu anakataa majina yake ya asili na imani yake ya asili na kukimbilia imani za kigeni.
Bas ujue huyo mbantu hajitambui na ni mtumwa wa kiroho na kimwili kwa wakoloni wake.
Kama ilivyo kwa Watanzania na Wakenya na Waalbania na Wabosinia na Waarmenia na Wanaigeria na Wasomali..........nk!!!!
 
Katika medani za kivita IDF ndio jeshi bora zaidi kwa record za kukacover military missions duniani akiwa na washirika wake na katika kitengo cha ujasusi Mossad ndio wanaongoza positive plus katika mission zaidi ya 1000 akiwa na washirika wake!!!Mataifa mengine yanafeli wapi?
Watu waoga hawa sema tu wanalindwa na Marekani, bila Marekani wangekwisha kupotezwa kitambo tu.
 
Vp bado unaamini hivyo baada kilichotokea?
 
Watu waoga hawa sema tu wanalindwa na Marekani, bila Marekani wangekwisha kupotezwa kitambo tu.
Kweli upo sahii mkuu ni waoga na hata bunduki hawajui kushika na hata kwenye uwanja wa vita ni wamarekani wale ambao wanakua wamevaa sare za jeshi la IDF!!!
 
Nimelijibu hilo swali vizuri pale juu mkuu.
Ebu pitia comment zangu pale juu utaona nilichokijibu
Israeli ni jeshi bovu kabisa duniani, na mosad hawanalolote. Kilichowwpata juzi ni ushahidi tosha. Wanachikifanya sasa ni kuchanganyikiwa wamipgwa kofi la uso, Intelligence yao imevuliwa nguo, hasira yao ni kuvunja majumba na na kuia wanawake na watoto. Ni jeshi ambalo halina uwezo wakipiga a hata na vikindi vidogo kama Hamas na Hizbullah. Hivi kweli Israeli kupigana na Hamas kuna haja ya Manuari za Marekani kusogoa?
 
Upo sahii mkuu ni jeshi bovu kabisa na hawajui kupigana na hata wanajeshi wake sio wayahudi bali ni wamarekani wanaovaa sare za kijeshi za khaki.
Upo sahii kabisa na hata ukiwauliza makamanda wa nchi jirani za kiarabu watakujibu na kukuambia kua IDF ni jeshi dhaifu kabisa na kila walipopigana vita walishindwa
 
Mumeaminishwa ivo na mushamin ivo
Karibu kwenye uchambuzi wa waandishi wa habari za kivita bila kujali itikadi za kidini na mihemuko ya kiimani.Bali ushahidi dhahili wa historia na ushuuda wa matukio katika uwanja wa vita.
 
Sass mzee wangu unakataa ukweli kua afrika hizi dini za kigeni zililetwa na wakoloni wa kiarabu na kizungu.
Lengo tuwe brain washed ili tutawalike kwa urahisi.
Nelson...
Hakuna tatizo una haki ya kuamimi upendavyo.

Dini ni jambo la mtu binafsi.
 
Back
Top Bottom