Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Nelson,Mzee wangu mpendwa kwahiyo nikutajie majina ya sources zangu ndani ya IDF za wanajeshi waastaafu???
Source iwe "documented," si mazungumzo ya watu.
Ikiwa source yako ni wanajeshi wastaafu hayo yatabaki kuwa mazungumzo hadi pale yakiwa documented kama ithibati.
Mathalan yawe kwenye nyaraka, paper au kitabu.
Hii sasa ndiyo source.
Mazungumzo na askari wastaafu ni mazungumzo tu kama mazungumzo yoyote yale.
Hizi ndizo sheria za "academics" kote ulimwenguni.
Muhimu ujifunze kwanza kabla ya kuingia katika mijadala.