IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

Mheshimiwa mapambano ya Wapalestina ni ya haki.Kwa bahati mbaya baadhi ya watu wanaamini uzayuni labda kutoka kwenye kitabu chao na kuamini Wazayuni ni watu wa mungu.Kinyume chake ndio ukweli. Mtu hawezi kuchukua nchi yako kwa bunduki wewe ukabaki tehe! tehe! tehe!. Wewe utakuwa juha! Mimi naamini Hamas watashinda hata miaka mia ijayo.

Ule ni ugaidi. Haki gani ya kuua raia, kubaka wanawake na kuchoma moto vitoto vidogo!
 
Jitihada zao za kijinga zimefika mwisho sasa maana hapo Gaza hakutakuwa na HAMAS tena na hizo karakana za kutengeneza rockets ndiyo mwisho wake.
Gaza itakuwa chini ya ulinzi wa Israel na kilakitu kitachoingia kitajulikana
 
Israel alishasema wanatoa funzo ambalo hamasi itawachukua miaka 50 kuja kusahau
Ndiyo kinachoendelea hapo Gaza hawa magaidi hawatasahau kipigo hiki na IDF wamesema kuwa Nia Yao ni kuuwa zaidi ya wapalestina 50 elfu nahisi idadi hii itafika kuanzia mwezi June
 
Dini ya kiislam haina mchango wowote ktk hii dunia imekuwa ni chanzo cha ukosefu wa amani duniani. Muda mwingi wanatumia kufundishana kuwachukia wakristo na huo wakati wao kwa wao nao hawaaminiani.
Uchukiwe na waislam na uislam kwakipi hasa ulichokua nacho [emoji3][emoji1787][emoji3]

Waislam na Uislam hauwezi kuacha kufundishana mambo ya maana wakafundishana kukuchukia wewe

Au kisa mnabarikiana wajinsia moja huko kanisani ndio tuwachukie

Nyie barikianeni tu si ndio maisha mlioona yanafaaa
 
Jitihada zao za kijinga zimefika mwisho sasa maana hapo Gaza hakutakuwa na HAMAS tena na hizo karakana za kutengeneza rockets ndiyo mwisho wake.
Gaza itakuwa chini ya ulinzi wa Israel na kilakitu kitachoingia kitajulikana
Ikiwa chini ya israhell mututag hapa kutukumbusha

Hakuna wakuifuta hamas pale ukanda wa ghaza
 
Ndio maana watu wengi wanawalaumu Israel cjui kwanini hawakuwafuta Palestine enz zile
 
Back
Top Bottom