IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

IDF wagundua kiwanda kikubwa cha makombora Gaza

Nipo na Bi Mkubwa wako namkamua toka jana muangalie hapo home kama utamuona au mpigie simu yake muulize yupo wapi kama atakuambia.
Hongra naona vijana wanakupelekea moto mpaka kuandika huwezi ule utamaduni wenu wa batchi bazi umekuharibu kabisa
 
Halafu kuna digidigi mkubwa sana wa Hizbollah kamalizwa huko Lebanon jana!
Kwani shida gani? Wenzio wameenda kufanya ngono na dada zao mabikira 72, yaani unambikiri unampiga miti halafu ukimaliza bikira inarudi tena bila kikomo yaani (endless) chezea Mudy wewe. Huku pembeni yako mito inafulika na kutililisha pombe ( Heineken). Huku Allah anashuhudia show na kufurahia
 
Watu waliishi kila siku wakijiandaa kuifuta Israel, badala wajenge viwanda vya kusaidia jamii wao wanajenga vya makombora ya kuelekeza Israel, jameni hawa wana bahati sana maana wangekua na ujirani na mtu asiyejali kama Mrusi mbona wangekoma, Mrusi angewapiga carpet bombing bila kuchambua watoto na akina mama.
Wote tumeshuhudia namna Urusi inatuma makombora kwenda Ukraine, wao hufyatua bila kujali itagonga wapi, ni bahati tu Ukraine wana mifumo ya kuishusha.

Israel wakiacha kuchambua na waamue kuelekeza pale mabomu ya kiwaki waki yaani carpet bombing, Gaza panafutika ndani ya dakika mbili na kuwa shamba.
============================

DSC08588-1024x640.jpg


DSC08650-1024x640.jpg


BUREIJ, Gaza Strip — Along and beneath the Gaza Strip’s main north-south highway, the Israel Defense Forces on Monday revealed where the Hamas terror group manufactured its long-range rockets that have been used to attack Israeli cities in recent years.

Troops of the 188th Armored Brigade and Golani Infantry Brigade operating in the Bureij camp of central Gaza in recent weeks discovered what the IDF has described as a “terror stronghold of weapons production.”

According to the IDF, the Hamas sites, along a kilometer and a half (1 mile) of Salah a-Din road in Bureij, represent the largest rocket manufacturing plant found so far in the Strip.
Wakimaliza kugundua wachukue maiti zao hizi haraka

FA69B530-CA79-4C53-BC81-40D85FA154F8.jpeg
 
Naona wamegoma kubadilisha list la magaidi wao wa idf wanaorambishwa mchanga pale ghaza
Maana naona leo kama week hv wanatangaza magaidi wao kuuliwa ila kwenye ubao bado tu wapo 173 au 75 kama sijakosea

Over-rated israhell wanateseka sana kwakweli sanaaaaaaaa
Walifikiri Gaza ni bustanini , sasa wacha warudi kwenye jeneza
 
Wavaa vipedo na makobazi bhana.
Wanatumia hela za msaada kutengeneza silaha ili kushambulia Israeli halafu wanaomba chakula. Akili za ajabu kabisa!
 
Mr uharo kila wanagundua tu😂
😄 hamna chochote kwanza anaye amini hizo film zao hayuko sawa kichwani.

Wanasema wamegundua kiwanda chini ya ardhi sa we tazama ujinga kwenye hi video utaona kuna jua na mwanga wa jua kila sehemu, kingine kuna kama bustani vile.



View: https://youtu.be/9ckhx6FgHow?si=S8bjaeakKegzcF8D

Hivi hichi kiwanda kweli kiko kwenye underground 😄


Wameingia workshop labda za UAE au Jordan ku act hio film
 
Mheshimiwa mapambano ya Wapalestina ni ya haki.Kwa bahati mbaya baadhi ya watu wanaamini uzayuni labda kutoka kwenye kitabu chao na kuamini Wazayuni ni watu wa mungu.Kinyume chake ndio ukweli. Mtu hawezi kuchukua nchi yako kwa bunduki wewe ukabaki tehe! tehe! tehe!. Wewe utakuwa juha! Mimi naamini Hamas watashinda hata miaka mia ijayo.
wewe unavyofikiria wenzio hawafikirii hivyo , mpk sasa unashabikia walioua watz wenzio na kuwaacha waisrael kama mateka , huon wanavyokuchukulia yaan hao wanawachukia watu weusi kuliko maadui zao wayaudi na bado wewe kenge unawashabikia
 
Dini ya kiislam haina mchango wowote ktk hii dunia imekuwa ni chanzo cha ukosefu wa amani duniani. Muda mwingi wanatumia kufundishana kuwachukia wakristo na huo wakati wao kwa wao nao hawaaminiani.
Akili mgando,ungewajuwa wazungu ungeamka lakini miwani ya mbao imekushika, Unajuwa nchi tatu za West Africa zimefanya nini?? Wamefukuza waislam au wazungu ??? Amka wewe Ngosha. Hata ufanyeje kwa mzungu Mwarabu ni binadam kwake kuliko wewe Ngosha.jipendekeze utakavo...Wazungu hawana time na huo ukristo
 
😄 hamna chochote kwanza anaye amini hizo film zao hayuko sawa kichwani.

Wanasema wamegundua kiwanda chini ya ardhi sa we tazama ujinga kwenye hi video utaona kuna jua na mwanga wa jua kila sehemu, kingine kuna kama bustani vile.



View: https://youtu.be/9ckhx6FgHow?si=S8bjaeakKegzcF8D

Hivi hichi kiwanda kweli kiko kwenye underground 😄


Wameingia workshop labda za UAE au Jordan ku act hio film

Hahaha mapimbi wengi sana hawezi kuisha😂
 
Wavaa vipedo na makobazi bhana.
Wanatumia hela za msaada kutengeneza silaha ili kushambulia Israeli halafu wanaomba chakula. Akili za ajabu kabisa!
Mvaa msalaba wa mbao halafu shoga anamcheka mvaa kobazi JF kuna vituko.
 

Attachments

  • IMG_8284.jpeg
    IMG_8284.jpeg
    43.6 KB · Views: 1
Hahaha mapimbi wengi sana hawezi kuisha😂
Afu walivyo wajinga kiwanda cha Missiles kiwe hakuna hata machine za kutengeneza hizo Missiles tunaonyeshwa Missiles kwenye racks kama vile machungwa yamisha tiwa kikapuni kupelekwa sokoni, afu anakuambia machungwa tumeyachuma sasa hivi kwenye miti 😄
 
Back
Top Bottom