ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Anashangilia kuuwa watoto na wanawake na kubomoa majengo.
View: https://x.com/shibleytelhami/status/1744928964554928422?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Kazi imeisha kachanganyikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anashangilia kuuwa watoto na wanawake na kubomoa majengo.
View: https://x.com/shibleytelhami/status/1744928964554928422?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wapigania uhuru wale , unafikiri kila mtu kazaliwa nchi yenye milio ya ndege tu kama weweWavaa vipedo na makobazi bhana.
Wanatumia hela za msaada kutengeneza silaha ili kushambulia Israeli halafu wanaomba chakula. Akili za ajabu kabisa!
Msako unaoendeshwa na IDF hapo Gaza ni hatar tupu wanastahili pongezi hakika IDF wanadhihirisha ubora waoWatu waliishi kila siku wakijiandaa kuifuta Israel, badala wajenge viwanda vya kusaidia jamii wao wanajenga vya makombora ya kuelekeza Israel, jameni hawa wana bahati sana maana wangekua na ujirani na mtu asiyejali kama Mrusi mbona wangekoma, Mrusi angewapiga carpet bombing bila kuchambua watoto na akina mama.
Wote tumeshuhudia namna Urusi inatuma makombora kwenda Ukraine, wao hufyatua bila kujali itagonga wapi, ni bahati tu Ukraine wana mifumo ya kuishusha.
Israel wakiacha kuchambua na waamue kuelekeza pale mabomu ya kiwaki waki yaani carpet bombing, Gaza panafutika ndani ya dakika mbili na kuwa shamba.
============================
![]()
![]()
BUREIJ, Gaza Strip — Along and beneath the Gaza Strip’s main north-south highway, the Israel Defense Forces on Monday revealed where the Hamas terror group manufactured its long-range rockets that have been used to attack Israeli cities in recent years.
Troops of the 188th Armored Brigade and Golani Infantry Brigade operating in the Bureij camp of central Gaza in recent weeks discovered what the IDF has described as a “terror stronghold of weapons production.”
According to the IDF, the Hamas sites, along a kilometer and a half (1 mile) of Salah a-Din road in Bureij, represent the largest rocket manufacturing plant found so far in the Strip.
Israel kaonyesha njia nzuri sana jinsi ya kuwashughulikia magaidi waislamu mpaka wafe Yani unaua mpaka mayaiJeshi bora linafyekwa , wewe unaleta death toll ya wamama na watoto
Mtu anaendesha msako wa nyumba kwa nyumba Gaza, anatungua makamanda uchwara mmoja mmoja Syria , Lebanon anatindua wahuni West Bank, anapambana na makobazi wa Houth na kote huko anafanya kwa ufanisi mkubwa bado hujaona umahiri wake tu?Kwa hili la Gaza, Israel na dunia ndiyo hawatosahau,kwamba Israel Haina jeshi ni kelele tu
Ahahaha..ufanisi mkubwa!!Mtu anaendesha msako wa nyumba kwa nyumba Gaza, anatungua makamanda uchwara mmoja mmoja Syria , Lebanon anatindua wahuni West Bank, anapambana na makobazi wa Houth na kote huko anafanya kwa ufanisi mkubwa bado hujaona umahiri wake tu?