maranduhussein
JF-Expert Member
- Jul 5, 2011
- 275
- 140
Tupe picha na ushahidiKiongozi wa magaidi wa Hamas alivyouwawa hospital alikuwa anatafuta nini badala ya kuwepo mstari wa mbele kwenye mapambano dhidi ya "makafir"?
Acha kuwasikiliza magaidi wa Israel.