IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

IDF wanatumia vifaa vya kivita kulinda raia wao while HAMAS wanatumia hospitali na mashule kujilinda wao

Naona umeweka picha ya ukoo wako mzima ili tuujue alafu alafu huyo aliyeko mbele ni baba yako,kwakweli ni picha nzuri.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
IDF wameshasema lengo lao ni viongozi wa HAMAS kwa hiyo wanawasaka popote walipo na HAMAS wameona sehemu ya kutafuta huruma kwa mataifa mengine ni kujificha kwenye miundombinu ya kutolea huduma za kijamii.

Muhimu amani ipatikane
Kwahiyo Wakristo wameshinda.
 
We huwa hufahami kiswahili nilicho sema wakingiza miguu yao Gaza watamalizwa, siku sema hawatafika Gaza na nilicho sema kinatokea hakitokei?

Kwanza mmeingia kwa target ya kuimaliza Hamasi mbona Hamasi anarusha missiles, anaripua vifaru, anawauwa wanajeshi sa wapi mmeshinda au mmekomboa Matekwa au mmeyamaliza mahandaki? Hakuna hata kimoja mmefanikiwa afu kuingiza vifaru ndio mmeshinda, wenzako kila kukicha wanaomba Air force iwasaidie mwisho yatakuwa kama yale ya 7th October Helicopters zao zilikuwa zinawaua raia afu wakasema Hamasi 😄

Nyie tuonyesheni Raia mmewakomboa? Mmewamaliza Hamasi? Mmeyamaliza mahandaki? Sa ushindi upi mnaouongelea 😄

Labda wa kuwauwa watoto, wanawake, wagonjwa, kupiga hospital, kuvunja shule, kuvunja miskiti, makanisa na majumba ya rai wa Gaza



View: https://youtu.be/8472Rr6QdWs?si=a5qbB7sCTrpcGV1F

Angalia lana silaha za America zikielekea Israel zimerupuka huko california lana hio kutoka kwa Mungu.

We usijifu Ukristo si dini ni ujinga wa Paulo kupoteza dini ya kweli aliye kuja nayo Yesu


Unateseka sana ndugu, walau uwe unapumzika hata lisaa moja maana utapapata presha, umeandika sana kila siku na kupambana humu na kila unachoandika kinatendeka kinyume, haya sasa wagonjwa wanaondoka Hatimaye maelfu waanza kutoka kwenye hospitali walikojificha HAMAS, huu mziki unaeleka mwisho wake

Hiyo dini inakutesa acha kuabudu huyo muarabu aliyekua anafanya kila aina ya uchafu.
 
Nimekuambia ulete ushahidi ww unaleta ngonjera.

Hiyo hamas hawezi kuchakaa kwa sababu yeye apigwi bali wanao pigwa ni wanawake na watoto.
Sasa kwa nini nayeye Hamas asimpige IDF? Anasubiri nini huku anaona wanawake na watoto wanapigwa!!
 
Kwahiyo Wakristo wameshinda.
Hii sio vita ya wakristo na waislamu. Ila mataifa mengi ya kiislanu yanaunga mkono na kutetea Gaza na hapo ndipo Hamas anapotaka kujichukulia advantage kuendelea kufanya uhalifu wake
 
Hii sio vita ya wakristo na waislamu. Ila mataifa mengi ya kiislanu yanaunga mkono na kutetea Gaza na hapo ndipo Hamas anapotaka kujichukulia advantage kuendelea kufanya uhalifu wake
Mbona wakristo wa nchi za Africa wakiongozwa na Tanzania wanashangilia na wachungaji wao?? Ukiondowa wasouth Africa??
 
Dini gani ya kweli unayozungumzia!?
Yesu hajakula nguruwe. Alifuata sheria za Musa na hakula nguruwe. Katika Walawi 11:7-8, “Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi, kwenu, msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.”[4]
 
Netanyahu kiboko magaidi wote wameufiata wanaomba huruma ya dunia🤣🤣🤣🤣
migaidi ya hamas inapelekewa moto hataree yaan midume mizima na allah wao wanaishia kujificha katkat ya raia badala ya kupambana na madume ya IDF aisee israel wakawakague wajawazito hapo al shifa unaweza kuta midume ya hamas imejivisha madela wakijifanya wanawake wanasubir kujifungua 😂🤣😁😆😄
 
Yesu hajakula nguruwe. Alifuata sheria za Musa na hakula nguruwe. Katika Walawi 11:7-8, “Na nguruwe, kwa sababu yeye anazo kwato, ni mwenye miguu iliyopasuka kati, lakini hacheui, yeye ni najisi, kwenu, msiile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.”[4]
Lakini cha ajabu eti kwenye dini yenu mmeambiwa eti kukiwa hakuna kabisa chakula nguruwe ruksa,unaona dini yenu inavyo jichanganya!?
 
Wajahidina wapigwe tu, magaidi hawana maana kabisa
 
wanawalilia hamas wanapigwa! wanadai watoto ndo wafao! wanadai kina mama ndo wafao! je si hao hao wafao ndo waliocheza ngoma kushangilia vifo vya wana wa yakobo 1400 walivo uwawa mwezi ulopita. sasa leo kwao mkuki mchungu kwa binadamu ila kwa nguruwe mtamu! acha wabondwe
Na hao.hao kina mama na watoto ndiyo wanaovaa mabomu kiunoni kujilipua wawaue raia wa kiyahudi, yaani waarabu wao hawachagui wa kuua ila wao wanataka wachaguliwe pa kupigwa, wkt mgambo wao hawana sare wala uniform wala kambi za jeshi wanajificha hospitali, yaani ingekuwa mfano Mrusi kashambuliwa na mwarabu angeua kila kiumbe.
 
Back
Top Bottom