IDF yaandika historia tena, ndege zake 100 zasambaratisha kambi za Hezbollah, walikuwa wanajiandaa kuishambulia Israel


Umekuwa msemaji wa Jordan?
 
Huko kote mie wala sina shida naye.
Shida yangu hapa kutaka kuaminisha watu kuwa Israel amerusha ndege 100 kwa wakati mmoja na kushambulia.
😂😂😂😂Aisee sisi sio watoto.
Israhell kama kawaida yake na fans zake humu ndani wanadhania tupo mwaka 70 au 80s huko

Mambo yapo hadharani walete ushahidi kama waloleta hizbullah leo walipofanya yao

Yaani israhell wafanye jambo halaf wakae kimya thubutuuu
 
Zote hizi ni direct hit targets za hizbo tuu sijajumuisha hamas, westbank na kambi ya Iraq ili mujue waislam sio magaidi wazayuni ndio magaidi yenyewe waislam wanapiga kambi za jeshi tu na maeneo ya jeshi kwakua wanajua wataulizwa na mwenyewe muumba
wale mateka ndo sababu ya yote haya na bado mnawang'ang'ania , ule sio ugaid ?
 
Yaani umezunguka weee mwisho umerudi kuitetea points yangu kuliko yakl uloisema awali

Mie nilikupinga uliposema kwamba israhell ina majirani maadui wengi nikakwambia sio kweli nandio ulichokuja kukisema hapa kwakutetea hoja yangu kua israhell haina maadui wengi kama zamani
 
Hata Iran itafika tu. Wewe kila siku unafia Wapalestina na unaaibishwa, na wao wanafanya makosa unashindwa kuwatetea wakipigwa, unawekewa vikwazo kisa wao. Former Foreign Minister kaanza ila mwishowe serikali ya Iran itakubali.

Israel ina nchi maadui, ila hawafanyi lolote wanajua uwezo wake. Wanamchukia ila wanamuogopa.
 
Kwenye siasa mambo hubadilika hili lipo wazi sana mbona

Kwani kabla ya mwaka 79 hujui kama iran ilikua pro israhell ila baada ya hapo kilitokea kipi?

Mambo hubadilika ila kwasasa hilo lisahau

Kuwafia wapalestina iran haijanza leo na wala haitaacha punde
 
Hezbollah wamesema hiyo ni wajinga ndiyo waliwao. ukweli ni huu:


View: https://youtube.com/shorts/npBGZ2bHTKg?si=c5Gx7xSYfEtkaOCs
Nasrallah anaeleza kama ilivyo, hakuna longo longo wala kucheza na maneno.
 
Uongo uongo uongo. Lete clip footage tuzihesabu hapa hizo ndege 100
 
Acha uongo wewe,,, hizo ndege Mia kama kweli wamerusha kwenye eneo dogo kama lile si pangegeuka majivu,,, hata kama unawapenda mazayuni ila punguza uongo na ujuaji,, sisi hatujasema kwamba huyo Israel hana ndege Mia, isipokuwa kufanya shambulizi la ndege Mia kwa wakati mmoja..
 
Ila kwenye hayo mazungumzo wazayuni warejelee kwao huko poland nk

Laa sivyo watakua wanapigwa tu kila baada ya muda kadhaa mpaka wahame
Wayahudi wanapigwa?
🤣🙌
Mara nyingi naona wanapigwa na kuchukua na kuyakalia maeneo kadha wa kadha
 
Ila kwenye hayo mazungumzo wazayuni warejelee kwao huko poland nk

Laa sivyo watakua wanapigwa tu kila baada ya muda kadhaa mpaka wahame
Usitarajie! Waende wapi wakati wako kwenye ardhi yao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…