IDF yamuua Ali Akbar Ahmadian, Katibu wa Baraza la Usalama la Iran

Kuwafuta makamanda wa IRGC kama Salami na Ahmadian kunaonyesha wazi kushindwa kwa mkakati wa Tehran wa kuelekeza mabilioni ya dola kwa madalali wa vita badala ya kuwahudumia raia wa Iran. Bajeti ya IRGC ya mwaka 2023 ilitenga dola bilioni 12 kwa shughuli za nje huku asilimia 60 ya Wairani wakikabiliwa na ukosefu wa uhakika wa chakula. Hii siyo vita dhidi ya ugaidi – ni uwajibikaji kwa utawala unaopeleka fedha zaidi kwa makombora ya Hezbollah kuliko kwa hospitali.

Ukaguzi wa Pentagon wa mwaka 2024 ulionyesha kupotea kwa dola milioni 114 kwenye programu zilizoshindwa za "ustawi" wa Mashariki ya Kati, lakini mashambulizi ya kulenga viongozi wa kigaidi yanahitaji usahihi, si hundi zisizo na kikomo.

Usalama wa kweli unaanza kwa kuvunja mitandao ya kigaidi, si kuendeleza vita visivyoisha.
 
S-400 zilishindwa kuzipiga ndege za Israel? Mrusi inabidi arudi kwenye drawing board kwa kweli kuhusu air defence systems zake. This is humiliation.
 
S-400 zilishindwa kuzipiga ndege za Israel? Mrusi inabidi arudi kwenye drawing board kwa kweli kuhusu air defence systems zake. This is humiliation.
Unamwamini mzungu? Ukiwa na ugomvi na marekani au urusi umekwisha. Huwa ni suala la muda tu. Wale wajinga huwa wanakaa chemba wanakubaliana matakwa yao huku wewe hujui. Utashangaa unapigwa tu a aliyekuahidi kukusaidia yupo hapo hapo. Uadui wa Marekani na Urusi za sasa sio ule wa baada ya vita ya pili. Ni uadui unaozingatia maslahi. 🙌🙌🙌
 
Wanafanya replica ya Lebanon na Syria. Unawadungua viongozi wakubwa tu
Mnakumbuka ile hotuba ya Netanyahu kwa wananchi wa Iran? Mnakumbuka aliwaambia Israel iko pamoja nao kuondoa utawala dhalimu ili wawe huru?

Kinachoendelea ni implementation ya alichosema kwa vitendo. Neno la myahudi tena kiongozi halitoki bure!
 
Aiseeeee hao watu walijipanga muda na walishapeleleza muda mrefu.

Kwa sasa Iran keshashikwa kende, hawezi furukuta wala kujibu mapigo.

Hii ni big surprise kwao. Mayahudi yatajipigia tu. Achaneni na tambo za akina Adiosamigo humu JF.
Israel is eliminating many top Iranian leaders:

- Ali Akbar Ahmadian, the Secretary General of Iran’s Supreme National Security Council

- Esmail Qaani, head of the Quds Force

- Gen. Hossein Salami, Iran's Revolutionary Guards Commander

- Gholam Ali Rashid, Iran's Deputy Chief of Staff

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…