IDF yamuua Ali Akbar Ahmadian, Katibu wa Baraza la Usalama la Iran

Ni ukombozi kwa watu wa Iran. Mapinduzi ya mwaka 1978 yaliyomtoa Mohamed Reza Pahlavi yamewarudisha nyuma sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.
Utawala wa Gaddafi uliwarudisha nyuma sana wananchi wa Libya.
 
View attachment 3366422

Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
Ayatollah na nile gauni na mtandio wake hapati majibu imekuwaje. Ni wazi amejua, Israel angetaka, nae ingekuwa kafa tayari. Hajui alaumu au apige simu kwa Netanyahu kushukuru kuendelea kuwa hai.
 
Jeshi halifanyi kazi kwa mtindo wa kamanda akifa basi jeshi limekufa.

Hii vita ni existential threat kwa Iran, Iran isipojibu inamalizwa!.

Sanasana tegemea kuona West walivyowajanja harakaharaka wataitisha kikao cha UN Security Council na kutoa agizo usitishwaji wa mapigano.

Au this time West inaweza kumobilize NATO nzima na kuipiga mkwara Iran iback down kwa sababu maslahi ya nchi za NATO yako hatarini.
Iran ashapigwa hapo wewe unachoongea ni ndoto ambayo haiwezo tokea we major general na makamanda wengine wawili wakubwa wameangushwa ndio kopro uje upambane na Israel unachekesha
 
Subiri. Alichokifanya ni mfano wa "Amin" kuvamia kagera, subiri majibu ya vijana wa JW
 
Israel yao inaenda Kubemendwa ni swala la muda tu. Ata ivyo vifo avijasibitishwa propaganda na Chai kibaoooo waisrael wa Diongoya ndani ndani!!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.
Utawala wa Gaddafi uliwarudisha nyuma sana wananchi wa Libya.
Kwa hiyo asaivi libya ina democrasia nzuri kabisa?
 
View attachment 3366422

Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
  • Iran’s Supreme Leader Ayatollah Ali Khamenei has warned Israel that it “must expect severe punishment” following the “crime” of attacking Iran and killing several top-level military commanders and six nuclear scientists.
 
Kwa hiyo asaivi libya ina democrasia nzuri kabisa?
Yes kwani wewe hauoni sasa hivi jinsi walivyokua na uhuru wa kuuana, uhuru wa kulala njaa, uhuru wa kuwaachia wazungu wajichotee mafuta vile wanataka bila kusahau uhuru wa deni la nchi.
Hio ndio demokrasia ambayo Wamagharibi wanataka nchi zote ziwe nayo.
 
Hakika
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.
Utawala wa Gaddafi uliwarudisha nyuma sana wananchi wa Libya.
Ni mtazamo wako na una haki ya kuusimamia.
 
Kwani mifumo yao ya ulinzi haikuona wala kudungua hizo ndege?
 
Back
Top Bottom