PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Intelligence ya Iran waliamini mashambulizi yatafanywa siku ya jumapil hata Russia nao walitoa taarifa za Siri Kwa Iran kuwa siku ya jumapil mashambulizi yataanza .... Hii counterattack imefanywa na IsraelAiseeeee hao watu walijipanga muda na walishapeleleza muda mrefu.
Kwa sasa Iran keshashikwa kende, hawezi furukuta wala kujibu mapigo.
Hii ni big surprise kwao. Mayahudi yatajipigia tu. Achaneni na tambo za akina Adiosamigo humu JF.
Serikali ya Kiisalmu ya Iran inawanyanyasa sana raiaMnakumbuka ile hotuba ya Netanyahu kwa wananchi wa Iran? Mnakumbuka aliwaambia Israel iko pamoja nao kuondoa utawala dhalimu ili wawe huru?
Kinachoendelea ni implementation ya alichosema kwa vitendo. Neno la myahudi tena kiongozi halitoki bure!
Sio kizembe tu, watu Israel walikuwa wanajua vyumba walivyokuwa wanalala..Mbona wameuawa kizembe hivyo kipindi hiki kulipokuwepo na tishio kamanda mkuu hakupaswa kulala usingizi
Mkuu ile habari sikuiamini kabisa, Israel wana mikakati yao wale kukupa taarifa zisizo sahihi ni kawaida sana hasa kupitia double agents wao.Duh! Si ndio hao juzi walijigamba kufyonza mzigo wa kutosha wa taarifa za Siri za program za nuclear za Israeli? Majigambo kibao kumbe hewa. Death to Israel!
Iran ana S300 Tu sio S 400S-400 zilishindwa kuzipiga ndege za Israel? Mrusi inabidi arudi kwenye drawing board kwa kweli kuhusu air defence systems zake. This is humiliation.
watamla tu kichwa chake, ni suala la mudaAyatollah anasemaje?
Vita kati ya nani na nani maana Iran imekwisha kabisa Kijeshi haiwezi tena nani atacommand hizi Unit ambazo hazina molari baada ya makamanda wake kuangushwa??? na kuuwawa kizembe kama walivyowaua akina NasrallahDuh hii inaonyesha kuwa Israel ingeamua kutarget leadership ya Iran yote ingeweza.
Ila hii inaweza kupelekea vita kubwa sana inayoweza kubadili equation hapo middle east.
Atawafuta "Mayahudi" kwenye uso wa Dunia, inshaallah!Ayatollah anasemaje?
Yupo chini ya uvunguAyatollah anasemaje?
Jeshi halifanyi kazi kwa mtindo wa kamanda akifa basi jeshi limekufa.Vita kati ya nani na nani maana Iran imekwisha kabisa Kijeshi haiwezi tena nani atacommand hizi Unit ambazo hazina molari baada ya makamanda wake kuangushwa??? na kuuwawa kizembe kama walivyowaua akina Nasrallah
Hawa wa Iran wanajitafutia matatizo wenyewe. Ni watu wa vitisho vingi, vitendo hakuna.S-400 zilishindwa kuzipiga ndege za Israel? Mrusi inabidi arudi kwenye drawing board kwa kweli kuhusu air defence systems zake. This is humiliation.
Kabisa mkuuHuwa wanayalemaza kwanza! Ganzi ikishakolea wanajipigia tu.
Kapigiwa chooniMbona wameuawa kizembe hivyo kipindi hiki kulipokuwepo na tishio kamanda mkuu hakupaswa kulala usingizi