[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.Ni ukombozi kwa watu wa Iran. Mapinduzi ya mwaka 1978 yaliyomtoa Mohamed Reza Pahlavi yamewarudisha nyuma sana.
Ayatollah na nile gauni na mtandio wake hapati majibu imekuwaje. Ni wazi amejua, Israel angetaka, nae ingekuwa kafa tayari. Hajui alaumu au apige simu kwa Netanyahu kushukuru kuendelea kuwa hai.View attachment 3366422
Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
Iran ashapigwa hapo wewe unachoongea ni ndoto ambayo haiwezo tokea we major general na makamanda wengine wawili wakubwa wameangushwa ndio kopro uje upambane na Israel unachekeshaJeshi halifanyi kazi kwa mtindo wa kamanda akifa basi jeshi limekufa.
Hii vita ni existential threat kwa Iran, Iran isipojibu inamalizwa!.
Sanasana tegemea kuona West walivyowajanja harakaharaka wataitisha kikao cha UN Security Council na kutoa agizo usitishwaji wa mapigano.
Au this time West inaweza kumobilize NATO nzima na kuipiga mkwara Iran iback down kwa sababu maslahi ya nchi za NATO yako hatarini.
Iran ashapigwa hapo wewe unachoongea ni ndoto ambayo haiwezo tokea we major general na makamanda wengine wawili wakubwa wameangushwa ndio kopro uje upambane na Israel unachekesha
Kwa hiyo asaivi libya ina democrasia nzuri kabisa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.
Utawala wa Gaddafi uliwarudisha nyuma sana wananchi wa Libya.
Ngoja apunguze ndevu kwanza maana kashaanza kuziona mzigo...Ayatollah anasemaje?
Kama Rais aliliwa kichwa kwenye ajali fake, Ayatollah ni suala la muda tuNi suala la muda hata Ayatollah atadondoka tu, tuendelee kula popcorn
View attachment 3366422
Dakika chache baada ya kumdundua Hoseni Salami kamanda wa IGRC, Israel pia imemuua Ali Akbar Ahmadian ambaye ni Katibu wa Baraza la Usalama la Iran
Israel yao inaenda Kubemendwa ni swala la muda tu. Ata ivyo vifo avijasibitishwa propaganda na Chai kibaoooo waisrael wa Diongoya ndani ndani!!!mpaka Majenerali wako waishe
Yes kwani wewe hauoni sasa hivi jinsi walivyokua na uhuru wa kuuana, uhuru wa kulala njaa, uhuru wa kuwaachia wazungu wajichotee mafuta vile wanataka bila kusahau uhuru wa deni la nchi.Kwa hiyo asaivi libya ina democrasia nzuri kabisa?
HakikaYes kwani wewe hauoni sasa hivi jinsi walivyokua na uhuru wa kuuana, uhuru wa kulala njaa, uhuru wa kuwaachia wazungu wajichotee mafuta vile wanataka bila kusahau uhuru wa deni la nchi.
Hio ndio demokrasia ambayo Wamagharibi wanataka nchi zote ziwe nayo.
Wewe bado upo upo au sio!?Ni suala la muda hata Ayatollah atadondoka tu, tuendelee kula popcorn
Ni mtazamo wako na una haki ya kuusimamia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hata mauaji ya Muamar Gaddafi yalifanywa kwa ajili ya kuwakomboa walibya na kuwatoa kwenye mikono ya dikteta na kuwapea uhuru na demokrasia.
Utawala wa Gaddafi uliwarudisha nyuma sana wananchi wa Libya.