Huyo atakufa natural death sio atawahishwa. Kusaka Mateka ndo sababu halali ya uwepo wa hicho kipondo. Mateka wakirudi si kichapo/kipondo kitakuwa kimeisha ilhali walengwa magaidi hawajaisha? Ni vyema kwa magaidi kuendelea kuwashikilia Mateka ili iwe ni halali kupokea kichapo. Vinginevyo si mtasema mnaonewa?Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Ni kweli aisee. Ila magaidi nao cjui kwa nini hawajifunzi. Ona sasa wamejipeleka tena huko Syria.Dah,
Huu mwaka umekuwa mgumu mno kwa magaidi
Mitume Wote walikuja na same message ukiona alicopy basi ujuwe ni maneno walio ongea kina Ibrahim, Mussa, Issa nyie mnamuita Yesu. Sababu hayo ni maneno ya Mungu nipe wapi Mtume Muhammad ka copy kwa Paulo mtume wenu. Ukinipa naingia ukristo leo hapa hapa. Maneno ya Mussa. Ibrahim na Yesu lazima yafanane na ya Mtume Muhammad mbona hata Qur'an inakiri wazi hatutofautishi katika Mitume wa Mungu.Mbona alikopi vitu vingi kutoka katika Judaism na Christianity na kidogo kutoka katika Zoroastranism.
Kakopi hadi kutoka kwenye ZoroastranismMuhammad ka copy
Kufa ni nema we dogo kama hujui, mnaye ogopa kufa ni nyie wafuasi wa Paulo. Ukikuta Muislam anaogopa kufa basi ujue ni Mdhulumaji, Muwaji. Mzinifu. Hasali. Hatoi sadaka, Haheshimu wazazi wake. Mlevi na Anaye kula riba.Huyo atakufa natural death sio atawahishwa. Kusaka Mateka ndo sababu halali ya uwepo wa hicho kipondo. Mateka wakirudi si kichapo/kipondo kitakuwa kimeisha ilhali walengwa magaidi hawajaisha? Ni vyema kwa magaidi kuendelea kuwashikilia Mateka ili iwe ni halali kupokea kichapo. Vinginevyo si mtasema mnaonewa?
Unajua Dini inaweza kukuganya ukawa Zezeta. Trust me.Muislam anaogopa kufa basi ujue ni Mdhulumaji, Muwaji. Mzinifu.
Si mbaya kama kuna maneno mazuri hata mimi kuna wakati na waheshimu wakristo wenye utu sio vichaa kama nyie.Kakopi hadi kutoka kwenye Zoroastranism
Hizo ni akili za vichaaUnajua Dini inaweza kukuganya ukawa Zezeta. Trust me.
Sasa kwanini worship Copy wakati kitu orijinoo kipo?Si mbaya kama kuna maneno mazuri hata mimi kuna wakati na waheshimu wakristo wenye utu sio vichaa kama nyie.
Hii inaleta maswali sana hawa idf waliweza kujua mipango yote ya hezbollah na hamas na kufanikiwa kuwaua viongoziwao wakuu waliokua na ulinzi afu wanashindwa kujua walipo matekawao wanaoshikiliwa na hamas?.Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Naomba kujua Ibadhi ni nini?Nani anakuambia kila Sunni anawapenda US, Israel na European. Mimi si sunni wala si Shia mimi ni Ibadhi natazama nani mwenye haki ndio nakubaliana naye, awe sunni au Shia. Kwanza hata mimi sipendi kujita Ibadhi sababu namini hayo madhehebu walio fanya kulikuwa na mikono ya kiyahudi tu Wakati wa Mtume Muhammad kulikuwa hakuna sijui Sunni, Shia au Ibadhi.
Inaonyesha uko deep sana kwenye masuala ya dini,itapendeza sana ukibaki hukohuko ulikosomea hujui kwamba ukithibitishiwa ukahamia upande mwingine kwa misimamoyako utahamishia matatizo upande mwingine kwa kutokubaliana na utakachokikuta kwa wenye imani walioaminishwa mambo ya kusadikika kama wewe na kupelekea machafuko?Mitume Wote walikuja na same message ukiona alicopy basi ujuwe ni maneno walio ongea kina Ibrahim, Mussa, Issa nyie mnamuita Yesu. Sababu hayo ni maneno ya Mungu nipe wapi Mtume Muhammad ka copy kwa Paulo mtume wenu. Ukinipa naingia ukristo leo hapa hapa. Maneno ya Mussa. Ibrahim na Yesu lazima yafanane na ya Mtume Muhammad mbona hata Qur'an inakiri wazi hatutofautishi katika Mitume wa Mungu.
Hivi Paulo nani aliye mpa utume? Najua huna jibu sababu dini yenu ni fake religion π€£
Nani ka copy hivi umelewa nilicho sema maneno ya Mitume wa Mungu ujumbe wao ni mmoja tu, we unadhani huyu ka copy kwa huyu, hayo ni maneno ya Mungu. Hata Yesu mtasema alicopy kwa Musa na Ibrahim? Hebu nipe dalili ujumbe wa Yesu ulikuwa tofauti na wa Mussa na Ibrahim? Acha ukondoo wewe.Sasa kwanini worship Copy wakati kitu orijinoo kipo?
Ibadhi hana tofouti na Zayid wa Yemen nyie mnawaita Al Houthi ziko tofouti ndogo sana, na pia hana tofouti sana na Sunni lakini wanatofautiano kwenye vitu kama hivi na Sunni. Ibadhi wanamini hakuna binadamu atakaye muona Mungu, wanacho amini Nabii Mussa aliomba kumuona Mungu na Mungu akamjubu Laani Taraani, mana yake Hauta niona kabisa. Ibadhi wanamini Qur'ani ni Makhuluqu sababu ni maneno ya Mungu,Naomba kujua Ibadhi ni nini?
Binadamu bila dini ni kama mnyama hajui anaenda wapi. Hivi wewe unadhani bila dini kungekuwa na usalama duniani? Hivi wewe unadhani kungekuwa hakuna kufa, ungefanya mazuri duniani. Hivi we ungejua hakuna kufufuliwa na ukapelekwa motoni au peponi kwa mazuri na mabaya ulio yafanya ungefanya mazuri duniani.Inaonyesha uko deep sana kwenye masuala ya dini,itapendeza sana ukibaki hukohuko ulikosomea hujui kwamba ukithibitishiwa ukahamia upande mwingine kwa misimamoyako utahamishia matatizo upande mwingine kwa kutokubaliana na utakachokikuta kwa wenye imani walioaminishwa mambo ya kusadikika kama wewe na kupelekea machafuko?
Kama kufa ni kuzuri kila mtu angependa kufa kwa hiari. Ndiyo maana humuoni mtu akikaa mbele ya treni makusudi labda awe kichaa.Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Wewe hujui anaye jiua anakuwa kafanya suicide huyo amechukua nafasi ya Mungu kutoa roho yake huyo Mungu anampeleka motoni bila kizuizi chochote kile.Kama kufa ni kuzuri kila mtu angependa kufa kwa hiari. Ndiyo maana humuoni mtu akikaa mbele ya treni makusudi labda awe kichaa.