Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,755
- 1,939
Huyo atakufa natural death sio atawahishwa. Kusaka Mateka ndo sababu halali ya uwepo wa hicho kipondo. Mateka wakirudi si kichapo/kipondo kitakuwa kimeisha ilhali walengwa magaidi hawajaisha? Ni vyema kwa magaidi kuendelea kuwashikilia Mateka ili iwe ni halali kupokea kichapo. Vinginevyo si mtasema mnaonewa?Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha