IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

IDF yawaua Fahmi Salami na Salah Dahman ambao makamanda waandamizi wa Hamas waliohusika na shambulizi la Oktoba 7, 2023

Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Huyo atakufa natural death sio atawahishwa. Kusaka Mateka ndo sababu halali ya uwepo wa hicho kipondo. Mateka wakirudi si kichapo/kipondo kitakuwa kimeisha ilhali walengwa magaidi hawajaisha? Ni vyema kwa magaidi kuendelea kuwashikilia Mateka ili iwe ni halali kupokea kichapo. Vinginevyo si mtasema mnaonewa?
 
Mbona alikopi vitu vingi kutoka katika Judaism na Christianity na kidogo kutoka katika Zoroastranism.
Mitume Wote walikuja na same message ukiona alicopy basi ujuwe ni maneno walio ongea kina Ibrahim, Mussa, Issa nyie mnamuita Yesu. Sababu hayo ni maneno ya Mungu nipe wapi Mtume Muhammad ka copy kwa Paulo mtume wenu. Ukinipa naingia ukristo leo hapa hapa. Maneno ya Mussa. Ibrahim na Yesu lazima yafanane na ya Mtume Muhammad mbona hata Qur'an inakiri wazi hatutofautishi katika Mitume wa Mungu.

Hivi Paulo nani aliye mpa utume? Najua huna jibu sababu dini yenu ni fake religion 🤣
 
Huyo atakufa natural death sio atawahishwa. Kusaka Mateka ndo sababu halali ya uwepo wa hicho kipondo. Mateka wakirudi si kichapo/kipondo kitakuwa kimeisha ilhali walengwa magaidi hawajaisha? Ni vyema kwa magaidi kuendelea kuwashikilia Mateka ili iwe ni halali kupokea kichapo. Vinginevyo si mtasema mnaonewa?
Kufa ni nema we dogo kama hujui, mnaye ogopa kufa ni nyie wafuasi wa Paulo. Ukikuta Muislam anaogopa kufa basi ujue ni Mdhulumaji, Muwaji. Mzinifu. Hasali. Hatoi sadaka, Haheshimu wazazi wake. Mlevi na Anaye kula riba.

Muislam haswa hatishiki na kufa.
 
Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Hii inaleta maswali sana hawa idf waliweza kujua mipango yote ya hezbollah na hamas na kufanikiwa kuwaua viongoziwao wakuu waliokua na ulinzi afu wanashindwa kujua walipo matekawao wanaoshikiliwa na hamas?.
Inabidi tukubali hamas ni zaidi ya Iran,Russia Syria na Lebanon .
 
Nani anakuambia kila Sunni anawapenda US, Israel na European. Mimi si sunni wala si Shia mimi ni Ibadhi natazama nani mwenye haki ndio nakubaliana naye, awe sunni au Shia. Kwanza hata mimi sipendi kujita Ibadhi sababu namini hayo madhehebu walio fanya kulikuwa na mikono ya kiyahudi tu Wakati wa Mtume Muhammad kulikuwa hakuna sijui Sunni, Shia au Ibadhi.
Naomba kujua Ibadhi ni nini?
 
Mitume Wote walikuja na same message ukiona alicopy basi ujuwe ni maneno walio ongea kina Ibrahim, Mussa, Issa nyie mnamuita Yesu. Sababu hayo ni maneno ya Mungu nipe wapi Mtume Muhammad ka copy kwa Paulo mtume wenu. Ukinipa naingia ukristo leo hapa hapa. Maneno ya Mussa. Ibrahim na Yesu lazima yafanane na ya Mtume Muhammad mbona hata Qur'an inakiri wazi hatutofautishi katika Mitume wa Mungu.

Hivi Paulo nani aliye mpa utume? Najua huna jibu sababu dini yenu ni fake religion 🤣
Inaonyesha uko deep sana kwenye masuala ya dini,itapendeza sana ukibaki hukohuko ulikosomea hujui kwamba ukithibitishiwa ukahamia upande mwingine kwa misimamoyako utahamishia matatizo upande mwingine kwa kutokubaliana na utakachokikuta kwa wenye imani walioaminishwa mambo ya kusadikika kama wewe na kupelekea machafuko?
 
Hahaha kama OSAMA aliondoka na Al Qaeda yake naamini Hezbollah, na HAMAS mwisho wao hauko mbali.

Sitashangaa Israel wakiikalia Syria kusimamia utawala mpya mpaka watakapo jiridhisha hawataleta fujo tena.

Na sioni future ya Plaestina, labda wakubali tu wawe chini ya Israel kwa muda mpaka watakapo jitambua.

Walipojikoroga ni kuikubali HAMAS wakaunda serikali Gaza, wangekaa na PLO ya Mahamud Abbas wala yoote haya yasingewakuta.
 
Sasa kwanini worship Copy wakati kitu orijinoo kipo?
Nani ka copy hivi umelewa nilicho sema maneno ya Mitume wa Mungu ujumbe wao ni mmoja tu, we unadhani huyu ka copy kwa huyu, hayo ni maneno ya Mungu. Hata Yesu mtasema alicopy kwa Musa na Ibrahim? Hebu nipe dalili ujumbe wa Yesu ulikuwa tofauti na wa Mussa na Ibrahim? Acha ukondoo wewe.
 
Naomba kujua Ibadhi ni nini?
Ibadhi hana tofouti na Zayid wa Yemen nyie mnawaita Al Houthi ziko tofouti ndogo sana, na pia hana tofouti sana na Sunni lakini wanatofautiano kwenye vitu kama hivi na Sunni. Ibadhi wanamini hakuna binadamu atakaye muona Mungu, wanacho amini Nabii Mussa aliomba kumuona Mungu na Mungu akamjubu Laani Taraani, mana yake Hauta niona kabisa. Ibadhi wanamini Qur'ani ni Makhuluqu sababu ni maneno ya Mungu,
yanaaongea na wewe, sio kitabu sababu Qur'an imeshushwa kama mfano vile mvua, na Qur'ani ni kama vile injili sio kitabu ni maneno ya Mungu hata ukiyasoma ni kama unaongea na Mungu direct, anakuambia hichi kizuri hichi kibaya. Hata ujumbe unasema kitabu tulicho kishusha. Kuna tofauti ya kitabu kilicho shushwa, na kilicho andikwa. Ibadhi anakubali kusali nyuma ya Sunni na Shia bila wasi wasi, as long ana sema Lailah haila lah Muhammadan Rasul lah. Ibadhi hakufuru kusema madhehebu ya wengine ni makafiri. Ibadhi hafungi mikono wakati wa kusali wanamini Mtume aliamrishwa kufunga mikono kwa siku tatu akarudi kusali kama kawaida pia yako madhehebu ya sunni na Shia hawafungi mikono. Ibadhi wanamini Mungu hakai mbinguni sababu mbingu yeye mwenyewe kazijenga na ardhi yeye mwenyewe kazijenga, kwa hio yeye ndio anazishikilia mbingu na ardhi na yupo na wewe popote ulipo na anakusikiliza popote ulipo. Ibadhi wanamini ambaye ana ingia motoni atabaki milele kwenye moto, hakuna kutoka. Ibadhi anamini Imam akisoma sura ya Alfatah wewe usiseme Aminii ni kama unazidisha hio surah neno. hizo ndio badhi ya point tofouti na madhebu mingine.

Ki ujumla ibadhi hana matatizo uwe Shia au Sunni, ye wote anawakubali na hana matatizo nao, na hawapendi kuona huyu anamsema mwezake kuwa ana makosa bila dalili kutoka kwenye Qur'an, na yuko tayari kukosolewa kwa dalili za Qur'ani au Sunnah ambazo zimethibitishwa ni 💯 kaziongea Mtume Muhammad

Pia nadhani wako ma Ibadhi humu wanaweza kunirekebisha kama kuna sehemu nimekosea.
 
Inaonyesha uko deep sana kwenye masuala ya dini,itapendeza sana ukibaki hukohuko ulikosomea hujui kwamba ukithibitishiwa ukahamia upande mwingine kwa misimamoyako utahamishia matatizo upande mwingine kwa kutokubaliana na utakachokikuta kwa wenye imani walioaminishwa mambo ya kusadikika kama wewe na kupelekea machafuko?
Binadamu bila dini ni kama mnyama hajui anaenda wapi. Hivi wewe unadhani bila dini kungekuwa na usalama duniani? Hivi wewe unadhani kungekuwa hakuna kufa, ungefanya mazuri duniani. Hivi we ungejua hakuna kufufuliwa na ukapelekwa motoni au peponi kwa mazuri na mabaya ulio yafanya ungefanya mazuri duniani.

Dini ndio kila kitu huwezi mfananisha binadamu aliye fata dini, na asiye fata dini hata siku moja.

Dini ndio inanizuia nisifanye zina, nisichukue mikopo ya riba, nisidhulumu haki za watu nisikubaliane na wajinga wanao amini Israel ni taifa teule n.k.

We wasikilize wajinga wanao sema ukifa ndio basi tu hakuna malipo, we wasikilize wanao sema dini ni utamaduni 😄 🤣 😂
 
Swali we utaishi milele? Sa kufa ni kawaida je mateka wamerudi? Je vita Gaza imeisha
Kama kufa ni kuzuri kila mtu angependa kufa kwa hiari. Ndiyo maana humuoni mtu akikaa mbele ya treni makusudi labda awe kichaa.
 
Kama kufa ni kuzuri kila mtu angependa kufa kwa hiari. Ndiyo maana humuoni mtu akikaa mbele ya treni makusudi labda awe kichaa.
Wewe hujui anaye jiua anakuwa kafanya suicide huyo amechukua nafasi ya Mungu kutoa roho yake huyo Mungu anampeleka motoni bila kizuizi chochote kile.

Wewe unaye taka kuishi milele omba basi Mungu akuwache uishi miaka 100 tu, ndio utajua kufa ni nema. Ukibaki hai mpaa ufike huo umri wa miaka 100 ndio utawajua binadamu. Watoto zako, ndugu zako na mke wako watatamani wasikae karibu yako. We mwenyewe utasema Mungu naomba uchukue roho yangu bado na afya yangu.

Kufa ni nema kujiua ni ujinga unajipeleka motoni.

Si ndio nakuambia asiye jua dini ni kama mnyama anadhani kufa ni kujiua tu😆 😂 Kila mipango ya Mungu ni nema hata kufa ni nema dogo unless uwe shetani unajua unaenda motoni, ndio utaogopa kufa.
 
Back
Top Bottom