Sio kwamba ukikopi unapindisha kidogo ili copyright laws zisikushike?Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
Kwenye hayo maneno yako hujaleta ushahidi wa Aya hata moja kutoka biblia wala Quran kuthibitisha maneno yakoSio kwamba ukikopi unapindisha kidogo ili copyright laws zisikushike?
Now you're talking. Let's maintain that consistency badala leo inaongelewa hivi; kesho muktadha ule ule wa jana unabadilishwa kukidhi mahitaji wakati huo mostly malicious!Jesus wa biblia na Quran tunaweza kusema ni tofauti kwani Jesus wa biblia kwa mujibu wa biblia ametokana na uzao wa kizazi cha zinaa , na biblia imesema mtu anayetokana na kizazi cha zinaa hawezi kuingia katika ufalme wa Mungu
Plagiarism! Shetani ni mshenzi sana.Sio kwamba ukikopi unapindisha kidogo ili copyright laws zisikushike?
Nimetoa mifano mingi sana kwenye hii hoja hebu rudia malumbano yetu na Adiosamigo.Kwenye hayo maneno yako hujaleta ushahidi wa Aya hata moja kutoka biblia wala Quran kuthibitisha maneno yako
Nimetoa mifano mingi sana kwenye hii hoja hebu rudia malumbano yetu na Adiosamigo.
Mpaka kufikia kusema kama Uyahudi na Ukristo ungekuwa hauko uislamu usingekuwepo kwasababu wangekosa cha kukopi na kudai Mohamed ni Mtume wa mwisho.
Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron, wakawa Musa na Haruna, Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.Ndiyo Aya ya biblia hiyo umeleta, iliyokopiwa kwenye Quran ?
Huyo hata mimi kashindwa ni jibu, anapenda story nyingi afu ukimnasa anakuja na swali lingine π πNdiyo Aya ya biblia hiyo umeleta, iliyokopiwa kwenye Quran ?
Kicha kweli wewe, kwa hio Yesu asiwe Jesus sababu Yesu ni mswahili na Jesus ni Mzungu.Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron wakawa Musa na Haruna Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.
Tuongelee hata characters tu bila hata aya. Biblia ingekuwa imekuja later yaani Karne ya Saba tungesema Biblia imekopi Quruani.
Kicha kweli wewe, kwa hio Yesu asiwe Jesus sababu Yesu ni mswahili na Jesus ni Mzungu.
We unajua kwa lugha ya Amharic Yesu anaitwa nani?
Ndiyo umeleta ushahidi mwengine wa Aya iliyokopiwa kwenye biblia?Aya zanini wakati hata characters za kwenye Bibilia mfano Moses na Aron, wakawa Musa na Haruna, Jesus na Mary wakawa Issa na Mariamu.
Tuongelee hata characters tu bila hata aya. Biblia ingekuwa imekuja later yaani Karne ya Saba tungesema Biblia imekopi Quruani.
YesusWe unajua kwa lugha ya Amharic Yesu anaitwa nani?
Hata Malaika wa kwenye Bibilia pia wamekopiwa kwamfano Gabriel kawa jibriil, Michael baada ya kukopiwa kawa Mikaiil.Ndiyo umeleta ushahidi mwengine wa Aya iliyokopiwa kwenye biblia?
si kweli ni Iyesus.Yesus
Ulitaka Mungu awaite majina gani? Mtume Muhammad alisha wambia yeye ndio Mtume wa Mwisho wa Mwenyezi Mungu. Nyie msubirini Yesu na Yahudi wacha wamsubiri Massiah waoπ π€£ Hawatakuja mtakufa na wajukuu zenu watakufa Yesu harudi na Massiah wanao mtegemea Wayahudi haji.Hata Malaika wa kwenye Bibilia pia wamekopiwa kwamfano Gabriel kawa jibriil, Michael baada ya kukopiwa kawa Mikaiil.
Hakuna cha haja ya Aya vitu viko wazi.
Hayo ya kwenye Bibilia ndio orijinoo hayo ya kwenu ni Copy.Ulitaka Mungu awaite majina gani
Kwamfano Yehova na Jehova lakini si mumesema Issa wa kwenye Quruani sio Jesus wa kwenye Bibilia?! Au nimekosea...si kweli ni Iyesus.
Huyo Eli Cohen alitisha sana.Wewe unajua hizo hadithi nyingi sana mnazo sema za kislam ni za kiyahudi mfano huu aliye pindua Syria huyu ni Myahudi kabadilisha ID yake tu kujidai mwarabu. Hebu soma uone vipi Myahudi anavyo poteza watu. Unaweza kudhani huyu Golan ni Muislam kumbe ni Myahudi π π€£
Revealed: In 1950s Mossad spies married Arabs to conceal identity
Mossad's Ulysses Project's secret operatives took on false identities, married Palestinians, had children - all while feeding intelligence to Israeli operatorswww.ynetnews.com
Sheikh wangu naona kama wahangaika sana na imani za watu wengineMe sio shehe usinitenge na MUNGU WANGU YESU
Paulo nani aliye mpa Utume? Ukristo umeletwa na nani? Qur'an haifanani hata siku moja na Bibilia sababu Bibilia sio kitabu cha Mungu vitabu vya Mungu vinaitwa Zaburi, Injil, Taurati na Qur'an.Hayo ya kwenye Bibilia ndio orijinoo hayo ya kwenu ni Copy.