Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya Sierra Leone Idris Elba.

e3a2c30b33a950c31137a017303e9e98.webp.jpg


Hii ndio sababu kubwa iliyopelekea wanandoa hao Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake wa miaka 18 kutangazia umma kutalakiana.

Wambea wanadai walishatengana toka 2020 baada ya Idris Elba kutembea nae wakati wa COVID.

8ff88b02de08b1e6d8e52424b9af6273.webp.jpg


Idris Elba alifunga ndoa na Sabrina Dhowre Canadian Somali 2019 Morocco na kula honeymoon Tanzania.
 
Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.

kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Kwanza U-star ndio unkufanya uonekane ndio Muonekano.

Kwani tukisema Uwoya mzuri hua ni U-star ndio umefanya tumuone ndio huja uzuri hata ukiwa wa kawaida.
 
Back
Top Bottom