Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.

kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Mvuto wake unaongezwa na ustar hakuna Cha zaidi.
Tena Kuna kipindi Kuna jarida lilimtoa kama mwanaume mwenye mvuto kuliko wote nikajiuliza wanatumia vigezo gani nikakosa jibu
 
Ukizoea kuchapa wake za watu usirushe ngumi wako akiliwa uzinzi ni roho inayofatilia ni sawa na ushoga,ukila shoga ni lazima utazaa shoga.
Shetani unamkaribisha mwenyewe.
 
Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.

kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Ustar na hela tu... Mbona waafrika wote tuko hivyo ila mda mwingine inaendan na bahati mana mm mke wa Countrywide mama zuri aliniomba namba pale changanyiken
 
Back
Top Bottom