Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Mzuka wanajamvi!

Kuna fununu na umbea internet aliyekuwa mke wa zamani wa waziri mkuu wa Canada Gregoire Trudeau kuchepuka na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na actor muingereza mwenye asili ya Sierra Leone Idris Elba.

View attachment 2707935

Hii ndio sababu kubwa iliyopelekea wanandoa hao Waziri mkuu wa Canada Justin Trudeau na mke wake wa miaka 18 kutangazia umma kutalakiana.

Wambea wanadai walishatengana toka 2020 baada ya Idris Elba kutembea nae wakati wa Covid.

View attachment 2707938

Idris Elba alifunga ndoa na Sabrina Dhowre Canadian Somali 2019 Morocco na kula honeymoon Tanzania.
That story kwamba Idris alimla Sophie Grégoire was just Internet story bana. Tiktokers ndiyo walianza kuizusha pale Soohie alipo test COVID19 Positive halafu Elba na mke wake nao waka test positive halafu Elba akasema aliipata kwa mtu aliyekua naye ambapo watu waka recall walipoonekana wakiingia pamoja kwenye tuzo za Oscar ambapo picha yake ndiyo hiyo ume share.
HIlo la Idris halina ukweli, ni TikTokers speculations
 
Back
Top Bottom