Mwezi huu naona nimrefu Sana azisha basi mambo ya NOCTON wengineHuyu mwamba ana mvuto kwa wanawake wengi. Hata hapa tz kuna mifano hai
ndio mnaowataka sana ila tuliopo ni sisiIdriss mzuri jamani
Nawashangaa wanaume wa humu,
Hamna anaewaza kuivunja ndoa ya mkurugenz wa EWURA[emoji1787][emoji1787]
mamaJ sijafunga nae ndoa[emoji28]mimi nataka nimle mama J ili nivunje ndoa yako
Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.Huyu mwamba ana mvuto kwa wanawake wengi. Hata hapa tz kuna mifano hai
ππππndio mnaowataka sana ila tuliopo ni sisi
Wengine wanadai waziri mkuu kipa katoka anaruka na Macron wa France!!
Kwanza U-star ndio unkufanya uonekane ndio Muonekano.Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.
kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Tatizo maokoto π€£ dollars, poundsMbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.
kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?