Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

That story kwamba Idris alimla Sophie Grรฉgoire was just Internet story bana. Tiktokers ndiyo walianza kuizusha pale Soohie alipo test COVID19 Positive halafu Elba na mke wake nao waka test positive halafu Elba akasema aliipata kwa mtu aliyekua naye ambapo watu waka recall walipoonekana wakiingia pamoja kwenye tuzo za Oscar ambapo picha yake ndiyo hiyo ume share.
HIlo la Idris halina ukweli, ni TikTokers speculations
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ