Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.

kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Mvuto wake unaongezwa na ustar hakuna Cha zaidi.
Tena Kuna kipindi Kuna jarida lilimtoa kama mwanaume mwenye mvuto kuliko wote nikajiuliza wanatumia vigezo gani nikakosa jibu
 
Wangu ni mama ako so mama ako akiliwa powa tu as long as umebariki
Unabariki kupitia laana ya kufungua mlango kwa kula wake za watu wako nae lazima aliwe
Ukila mabinti za watu wako nae ataliwa
 
Ukizoea kuchapa wake za watu usirushe ngumi wako akiliwa uzinzi ni roho inayofatilia ni sawa na ushoga,ukila shoga ni lazima utazaa shoga.
Shetani unamkaribisha mwenyewe.
 
Mbona anafanana na wanaume zetu wengi wa kibongo/ Africa kwa ujumla.... tofauti labda ni personality na u super star tu.

kwahiyo mvuto wake wanavutiwa na muonekano au ustar?
Ustar na hela tu... Mbona waafrika wote tuko hivyo ila mda mwingine inaendan na bahati mana mm mke wa Countrywide mama zuri aliniomba namba pale changanyiken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…