Tetesi: Idris Elba adhaniwa ndio Chanzo cha kuvunjwa kwa ndoa ya Justin Trudeau (Waziri Mkuu wa Canada)

Nawashangaa wanaume wa humu,
Hamna anaewaza kuivunja ndoa ya mkurugenz wa EWURA[emoji1787][emoji1787]
Ndiyo maana mafuta hayashuki bei,wakisoma huku wanatukomesha kwenye vituo vya mafuta.
 
Pesa haikupi furaha muda wote.

Hata Princess Diana alichepuka na mwana wa Mfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…