Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Yaani wametumia siku nane kuna na hili kosa?? Police wa TZ ni vilaza wa kutupwa
 
Mambo ya kubambikia watu vitu vya hovyo vinatia aibu sana, sioni hata kosa la kumnyima mtu uhuru wake zaidi ya wiki moja
 
Bullshit!

Kwa hiyo mtu hawezi tumia simu ya mtu mwingine?

Hawa watu waache hadaa. Wangesema tu wamemkamata na kumsweka ndani kwa sababu alionekana anaicheka picha ya Magufuli.

Hakuna kesi hapo. Kilichopo ni ubabe tu.

Picha ya Magufuli inachekesha na kucheka au kuicheka si kosa.

Ndiyo, hata angekuwa ni mzazi wangu ningemcheka.

Kama mimi mwenyewe huwa najicheka nikiangalia picha zangu za zamani, kwa nini nisiweze kuwacheka na wengine?

Bullshit..
 
Mbona wanatuchanganya Idrissamekamatwa kwakuchekapicha au kutumia laini isiyokua na jina lake?
 
Ila huyu mimi hata sionagi anachochekesha. Kwann asifanye kitu ambacho ana kipaji nacho. Ila kuchekesha hapana
 
Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Hahahahaaa...... Naona mmefunguliwa kwa 2020.

Wewe unaeshinda jf Umelima wapi?
 
Polisi wamebadili gia angani, kosa limekuwa ‘kutumia laini’ isiyo ya jina lake... mbona hii itakula wengi tu mtaani.
 
Kama kucheka ni dhihaka, anyooshe kidole mtu yule ambaye hakucheka picha ile... binafsi kila nikiiona nacheka nusura kuanguka chini.
 
Sema jamaa Hana kipaji Cha kuchekesha mbona Kuna wengine hawatumii njia Kama ya idris na watu wanacheka ajifunze kwa Jambo na Vijambo au kwa cheka tu
Kwani alipost kwa nia ya kukuchekesha au kajipostia zake tu.
Mimi nampenda sana Idris ana akili sana na hua ananichekesha na kunifunza mambo kutoka kwenye post zake
 
Waafrika Mnapenda Sana Mambo ya Kifalme na Uchief.. Mnapenda Kuabudiwa Kwani Kucheka Picha kunq Shida Gani...

Hiyo Picha Angempa Mke wake au watoto wasingeicheka?
 
Waliozizea kwao kawaida kuona milion 100 kwenye account. Sasa mwenzangu na mimi tigopesa inasoma sh. 50 huku una madeni kila mahali mara unaambiwa umeshinda biko milion 100 unafikiri cha kwanza kitakua ni investment?? Hapana cha kwanza ni kufurahisha nafsi na mambo yote uliyomiss wakat ukiwa apeche alolo. Ila kabla hujaipata mikakati itakua mingi pata sasa
 
Mbona stori zinazungumzia idris kupata dhamana vp huyo mwezake?
 
Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Kwenye maisha yako nin kinaongezeka Kama akiwa anaishi kwa kuomba omba, watoto wa kiume hawanaga hizi tabia
 
Magufuli anajikuta immortal ahahahaha!
Na ninavyojua kucheka watu ingekuwa mimi nacheka hadi naanguka chini
Sasa unachekea huku Jf, kama unajua kucheka kachekee insta.
Ila ujue hatuna 15m kukudhamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…