Sikutishi nakupa fact maana huna common sense ni vuvuzeraUsinitishe wewe mitigate
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikutishi nakupa fact maana huna common sense ni vuvuzeraUsinitishe wewe mitigate
Fundi wa lile koti hakuwa mbahili wa kitambaa wala hakumuibia mteja wake. Alitumia kitambaa chote kihalali.
Ha ha ha.Ipo hivi:
Siwezi kumcheka Baba yangu kwa sababu siyo Rais as long as ana privacy right zote, ila akiwa ni Rais kama kuna cha kumcheka kama Rais nitamcheka kama Rais wa nchi na wala siyo kama Baba
Sikutishi nakupa fact maana huna common sense ni vuvuzera
Kiswahili cha kushangilia ka zoba hapana nduguJifunze kiswahili kwanza
Kwahiyo kosa limegeukia kwenye laini ya simu tena!, nacheka tu, halafu kuna wehu naona wanaponda sana kama vile jamaa aliua mtu vile,kuna siku tulaelewana tu.Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea kufuatilia....
UPDATES
Mchekeshaji Idris amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu pamoja na mwenzake Innocent Maiga na kusomewa mashtaka yao
Katika shtaka la kwaza, Idris pekee anatuhumiwa kutumia laini yenye namba 0753 617621 ambayo haijasajiliwa kwa jina lake bali kwa jina la Innocent Maiga
Katika shtaka la pili, Innocent pekee anatuhumiwa kushindwa kuripoti ubadili wa umiliki wa laini hiyo baada ya Idris kuanza kuitumia
UPDATE
Idris amepata dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kutumiza masharti yakuwa na wadhamini wawili na bond ya TZS 15,000,000/-
Kesi itatajwa tena Juni 09, 2020
Na hapa ndipo lilipo tatizo!Maadili kwenye kutekana na kubambikiana kesi jiweni mshamba
Huyo ni msanii wa vichekesho alichokosea Ni kuvuka mipaka kwenye uchekeshaji wake kwa kuzani watu watacheza kwa kutengeneza picha ya Magufuli kwenye muonekano wa mwanamziki
Mkwanja anaomiliki huyu jamaa hata kwenye rambirambi ya kifo chako huwezi kuufikisha.Afungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Hujajibu swali langu! Unajua kusoma? Umeona nilichokuuliza?
Mbona hajasomewa hayo mashitaka?
Mpumbavu kweli wewe, hujaelimika, "kutumia laini ya jina la mtu mwengine ndio kumcheka mkuu?"Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Mpumbavu kweli wewe, hujaelimika, "kutumia laini ya jina la mtu mwengine ndio kumcheka mkuu?"
Kipindi akina Masanja na Joti kwenye ZE COMEDY mbona walikuwa wanacheka kariu kila mwanasiasa?
Ujinga na upumbavu wako maandazi ndio umekufanya mpaka leo unaishi kwa shemeji yako hapo Tarime vijijini.
NIDA ndio wa kulaumiwa kwakuwa walivunja mkataba na kampuni ya ku-print ID na hivyo watanzania wengi hawana kadi, na ndio maana unakuta watu wame-waaanikishia watu wao.Na kwa upimbi wa TCRA basi watatukamata nchi nzima, watu wengi wamesajili kwa SIM cards za watu wengine, watoto wetu huko Mashuleni wote wana laini za wazazi wao, wakamateni mkawaweke LUPANGO siku 8!
Mmemtaftia kosa, mmekosa mkaamua kumpa lolote ku-justify u-dikteta wenu, haya endeleeni tu
Sheria kandamizi,lile kosa la uhujumu uchumi mlimkosa kosa eeh, na lile la uraia kwanini hamkumhoji?Kijana usinitishe sikumtuma huyo kijana avunje sheria
Magufuli anajikuta immortal ahahahaha!
Na ninavyojua kucheka watu ingekuwa mimi nacheka hadi naanguka chini
Wameona wakisema alicheka Koti-Kanzu la Malaika Mkuu watajivua nguo!Alicheka picha ya mfalme
Anaombaomba? Una uhakika?Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani