MR. IBU
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 1,380
- 2,965
Maadili kwenye kutekana na kubambikiana kesi jiweni mshambaUsifananishe Tanzania na Nchi za wajinga wasio kuwa na maadili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maadili kwenye kutekana na kubambikiana kesi jiweni mshambaUsifananishe Tanzania na Nchi za wajinga wasio kuwa na maadili
drisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Kwa nini hakuicheka wakati huo huo ?Ile picha mnayosema alimdhihaki Rais sio Kweli kwani wakati picha ile ilipopigwa JPM alikuwa mbunge; alikuwa bado hajawa na wadhifa alionao sasa.!!
Daaah yaan mwanangu zile hela ningezipata mm ningekuwa kwenye list ya Forbes now[emoji41][emoji41][emoji41]Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Stay safe Toto[emoji8]Watu wasome alama za nyakati awamu hii ni awamu ngumu sio ya kujiachiaachia.
Mambo ya kukamatwa kuhojiwa ni shidaa
Picha ikiwa nyumbani haina shida huo utakuwa ni utani ndani ya familia, mimi naongelea picha imepostiwa instagram kwa mfano picha ya baba yako akiwa amevaa mavazi yaliyochakaa then watu wanatoa comments za kejeli kwa hiyo na wewe utajiunga nao kutoa comments za kukejeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sheria inayozuia kumcheka Rais ndiyo maana wameshindwa kumshtaki kwa kosa hilo.Alivyojitoa kuwa raia wa kawaida alipoteza privacy right nyingi sana.Mkuu nijibu swali langu. Anyway ukiwa unafanya ujinga kama Is hakikisha uko clean(ni ngumu sana) vinginevyo ndio haya yatakukuta.
kama kosa ndo ilo kwanini hajashtakiwa kwa ilo kosa...kama alichofanya si sahihi kwanini hamjamshtaki kwa icho ambacho si sahihiPicha ikiwa nyumbani haina shida huo utakuwa ni utani ndani ya familia, mimi naongelea picha imepostiwa instagram kwa mfano picha ya baba yako akiwa amevaa mavazi yaliyochakaa then watu wanatoa comments za kejeli kwa hiyo na wewe utajiunga nao kutoa comments za kukejeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuuliza, ukiona picha ya baba yako alivyokuwa sekondari unaweza kuicheka huku unarusha hicho kicheko mtandaoni?Hakuna sheria inayozuia kumcheka Rais ndiyo maana wameshindwa kumshtaki kwa kosa hilo.Alivyojitoa kuwa raia wa kawaida alipoteza privacy right nyingi sana. Nikikucheka au kukudhihaki wewe hapo ni msala mkubwa sana ila siyo kwa Rais. Sasa huku Afrika kwa sababu watu wanaamini kuwa Rais ni Mungu mtu basi ukimcheka wanaona kuwa umetenda kosa kubwa sana
We kiaz kwenye mashitaka yake hakuna shitaka la kumdhihaki rais....punguza kuvuta bhangi maana umekua ka zoba fulan hviAvune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
We kiaz kwenye mashitaka yake hakuna shitaka la kumdhihaki rais....punguza kuvuta bhangi maana umekua ka zoba fulan hvi
Mungu wa miungu bwana wa mabwana nani kama yeye!Alicheka picha ya mfalme
Anhaaa 😂😂😂Picha ikiwa nyumbani haina shida huo utakuwa ni utani ndani ya familia, mimi naongelea picha imepostiwa instagram kwa mfano picha ya baba yako akiwa amevaa mavazi yaliyochakaa then watu wanatoa comments za kejeli kwa hiyo na wewe utajiunga nao kutoa comments za kukejeli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hajasomewa hayo mashitaka?Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Ipo hivi:Nimekuuliza, ukiona picha ya baba yako alivyokuwa sekondari unaweza kuicheka huku unarusha hicho kicheko mtandaoni?
Kila jamii ina maadili yake na miiko yake. Tuweke siasa pembeni.Unaelewa maana ya Dhihaka wewe.........Kakojoe ukalale huelewi ata haki za msingi za binadamu, nikusaidie........ tuna life, liberty and pursuit of happiness. Niambie kosa lake jamaa liko wapi..... nenda youtube mtafute Travor Noah nadhan utaelewa.