Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Hivi jamani kumiliki laini zisizo na majina yetu mbona tupo wengi sana na hii sana sana imechangiwa na NIDA kwa kuchelewesha kutoa namba zetu kwa wakati na huku TCRA inazima laini zisizo sajiliwa kwa alama za vidole na namba za nida
 
Kuna wakati tujifunze kutazama picha kama kusoma hatujui.
 
Wametafuta kesi ya kumpa , baada ya kukagua Nyumba yake wamekosa tangible evidence wameamua kumpa kesi haieleweki kichwa wala mguu[emoji23]. Jamaa hela yake yote itaishia kuendesha kesi
 
Dogo kipaji cha kuchekesha hana!... anafosi tu! Kalitafuta mwenyewe bahati yake kapata dhamana ila disprin kaipata pumbavu zake. Kiranga komo!!
N.b wakubwa lazima waheshimiwe.
 
Wema sepetu sio mtu mzuri,

Tangu amemdanga zile mil. 500 za big brother mpaka Zikaisha.

Idris Sultani amegeuka Dokta shika skuhizi.
Mwisho mwampamba yuko wapi siku Mara ya mwisho alikuwa akiuza matikiti chezea nguvu ya njiapanda, mugabe alitaka kuhonga nchi.
 

Ushatoa hukumu wakati ata mahakamani kesi haijaisha,

Si vizuri kumtakia mtu yeyote mabaya yamfike, ata wewe huna gerentii ya maisha yako.
 

Mwanamama umeshajifungua?
 
Police wanatengeneza pesa kiulainii
 
Mjinga kabisa, kwanini utumie laini ya mtu? Kiingereza kingi na ujuaji kumbe bure kabisa...
 
Mjinga kabisa, kwanini utumie laini ya mtu? Kiingereza kingi na ujuaji kumbe bure kabisa...
Hana cheti cha kuzaliwa kashindwa kupata namba ya NIDA sababu ni Mcomoro si Mtanzania. Mtu utaitwaje Sultan badala ya jina la la kibantu la ukoo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…