DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Una Kesi ya kujibu mkuu, UNAICHEKA PICHA YA MH. RAISI[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una Kesi ya kujibu mkuu, UNAICHEKA PICHA YA MH. RAISI[emoji23][emoji23][emoji23]
Wema sepetu sio mtu mzuri kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Mashitaka hayahusiani na kuicheka ile pichaAvune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Mwisho mwampamba yuko wapi siku Mara ya mwisho alikuwa akiuza matikiti chezea nguvu ya njiapanda, mugabe alitaka kuhonga nchi.Wema sepetu sio mtu mzuri,
Tangu amemdanga zile mil. 500 za big brother mpaka Zikaisha.
Idris Sultani amegeuka Dokta shika skuhizi.
Ni kuzifia tu Kama musiba unakuwa salama huku ukifuta na hela kabisaKuna wakati tujifunze kutazama picha kama kusoma hatujui.
Yataisha tu.Ni kuzifia tu Kama musiba unakuwa salama huku ukifuta na hela kabisa
Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je, kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bullshit!
Kwa hiyo mtu hawezi tumia simu ya mtu mwingine?
Hawa watu waache hadaa. Wangesema tu wamemkamata na kumsweka ndani kwa sababu alionekana anaicheka picha ya Magufuli.
Hakuna kesi hapo. Kilichopo ni ubabe tu.
Picha ya Magufuli inachekesha na kucheka au kuicheka si kosa.
Ndiyo, hata angekuwa ni mzazi wangu ningemcheka.
Kama mimi mwenyewe huwa najicheka nikiangalia picha zangu za zamani, kwa nini nisiweze kuwacheka na wengine?
Bullshit..
Kumbe nyani ngabu ni mwanamkeMwanamama umeshajifungua?
Police wanatengeneza pesa kiulainiiYaan ukiingalia Ile clip ya IS lazima uchekee tenaa [emoji38][emoji38] ,, btw naamini Mhe Rais Hana muda na hii ki2, ana Mambo mengi ya kufanya kulitumikia taifa letu, so hao police/mahakama kuendelea kudeal nae ni kumuongezea umaarufu zaidi
Kidumu chama tawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wa mtu mama wa nyumbani ana watoto 4Kumbe nyani ngabu ni mwanamke
Hana cheti cha kuzaliwa kashindwa kupata namba ya NIDA sababu ni Mcomoro si Mtanzania. Mtu utaitwaje Sultan badala ya jina la la kibantu la ukoo?Mjinga kabisa, kwanini utumie laini ya mtu? Kiingereza kingi na ujuaji kumbe bure kabisa...
Mfalme juhaHapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba.
Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.