Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using
Jamii Forums mobile app