Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Idris Sultan afikishwa katika Mahakama ya Kisutu. Ashtakiwa kwa kumiliki laini ya simu isiyo na jina lake. Aachiwa kwa dhamana

Alicheka picha ya mfalme
.
1590213780084.jpg
 
Hapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba

Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.
Siku hizi habari ya mjini ni “kusambaza picha za ngono”
 
Afungwe jela miezi mitatu akalime Machikichi kule Kigoma.. Akitoka huko atakuwa amejifunza kufanya kazi aache kulemaa hapa town.. Akitoka huko atakuwa amejua maisha sio lele mama.
 
Mkuu Sky, hivi unaweza kudhubutu kuicheka picha ya baba yako mzazi tena waziwazi mtandaoni? Nadhani kuna shida kubwa ya kimaadili, mitandao inatufanya tusahau utu wetu so sad...

Sent using Jamii Forums mobile app
hata Makonda ameshindwa kumsaidia,jamaa hii case itampelekesha sana,ila uliyosema yana ka ukweli hii ni Tanzania inapaswa jamaa aelewe kuna vitu hapaswi kufanya,nilivoiona ile video mara tu alipo post nilijua lazima atapata tatzo
 
Hii comment yako inazungumza mengi yaliyomo moyoni mwako dhidi ya idris mwana wa sultan

Ana tabu sana bwanamdogo. Hizi sio zama za kuishi "kisoftsoft" eti kwa kujichekeshachekesha ili uendeshe maisha, HAPANA. Tayari kaishapishana na gari la mshahara, seriously upewe 500 m, na usifanye kitu cha msingi, kuna tatizo mahala
 
Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.

Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.

Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.

Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halari =halali ....kuandika kwenyewe Huwezi . ..sasa mambo ya Idriss utayafahamu vipi.
 
Hapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba

Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.

Ninaamini hata wewe womkyalo iwapo una familia au ni mwanafamilia mnazo kanuni za maisha hapo kwako/ kwenu. Nasema haya kusisitiza utii wa "sheria bila shurti". Ni mahakama pekee nchini yenye mamlaka ya kulinda haki.

Hivyo basi, tusijenge tabia ya kulaumu kila mara. Pasingekuwepo na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu, maisha ya binadamu yangekuwa vurugu tupu kuliko wanyama mwituni ambako mwenye nguvu ndiye anaweza kuishi (survival of the fittest)
 
Sikupingi ....hila ...Tabia zakuwapa watu kesi za uhujumi uchumi au utakatishaji pesa sio nzuri...kumcheka Rais wa JMT nijamb lakawaida sana.
 
Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.

Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.

Endelea kufuatilia....
Kumuweka mtu kituo cha Polisi zaidi ya masaa 48 bila kumpeleka mahakamani ni kinyume na sheria.

"[Y]ou are imprisoning a man when he has not broken any written law, or when you cannot be sure of proving beyond reasonable doubt that he has done so. You are restricting his liberty, and making him suffer materially and spiritually, for what you think he intends to do, or is trying to do, or for what you believe he has done. Few things are more dangerous to the freedom of a society than that."

Julius K. Nyerere

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa hyo milioni 500 alishindwa hata kutengeneza mgahawa?kweli tunatofautiana akili
Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
 
Back
Top Bottom