Aisee usawa huu unapiga 500million then unakuja kukosa hata pa kulala maana kunapost ipo humu eti idd hana hata pakulalaHii comment yako inazungumza mengi yaliyomo moyoni mwako dhidi ya idris mwana wa sultan
Alicheka picha ya mfalme
.Alicheka picha ya mfalme
Siku hizi habari ya mjini ni “kusambaza picha za ngono”Hapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba
Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.
hata Makonda ameshindwa kumsaidia,jamaa hii case itampelekesha sana,ila uliyosema yana ka ukweli hii ni Tanzania inapaswa jamaa aelewe kuna vitu hapaswi kufanya,nilivoiona ile video mara tu alipo post nilijua lazima atapata tatzoMkuu Sky, hivi unaweza kudhubutu kuicheka picha ya baba yako mzazi tena waziwazi mtandaoni? Nadhani kuna shida kubwa ya kimaadili, mitandao inatufanya tusahau utu wetu so sad...
Sent using Jamii Forums mobile app
mfalme nani??Alicheka picha ya mfalme
Hii comment yako inazungumza mengi yaliyomo moyoni mwako dhidi ya idris mwana wa sultan
Halari =halali ....kuandika kwenyewe Huwezi . ..sasa mambo ya Idriss utayafahamu vipi.Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sepenga alizipiga zilipoisha kasepa Sasa anamcheka tu!Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani
Hapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba
Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.
Ninaamini hata wewe womkyalo iwapo una familia au ni mwanafamilia mnazo kanuni za maisha hapo kwako/ kwenu. Nasema haya kusisitiza utii wa "sheria bila shurti". Ni mahakama pekee nchini yenye mamlaka ya kulinda haki.
Hivyo basi, tusijenge tabia ya kulaumu kila mara. Pasingekuwepo na Katiba, Sheria, Kanuni na Taratibu, maisha ya binadamu yangekuwa vurugu tupu kuliko wanyama mwituni ambako mwenye nguvu ndiye anaweza kuishi (survival of the fittest)
[emoji23][emoji23][emoji23]
akuna mtu wa kubambikiwa kesiHapo wasipompa ..uhujumi uchumi au Utakatishaji fedha ,,basi atakuwa ameponea kwenye mdomo wa Mamba
Maana mfalme wa mataga kwa kubamkia watu kesi ...hakuna asiyemfahamu.
Kumuweka mtu kituo cha Polisi zaidi ya masaa 48 bila kumpeleka mahakamani ni kinyume na sheria.Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea kufuatilia....
Kuna mabadiliko yanahitajika?kwanza nataka kujua idris ni msanii au mwana HARAKATI wa mabadiliko?
Sawa tuendelee kusubiri muda utaongea lakini kumcheka chizi sio kosa kisheria.akuna mtu wa kubambikiwa kesi
Kuna mabadiliko yanahitajika?
Kilaza mmoja alipiga milioni 500 big brother south Africa malaya wa Dar wamezikomba zote amebaki anaishi kwa kuombaomba mtaani