del moe
JF-Expert Member
- Apr 4, 2016
- 827
- 1,026
Trump kaonyeshwa dole la kati[emoji867].Tena kwenye msafara wake lakini amekula pin.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikawaida kabisa mtu kama hajui kitu huwa anaangukia kwenye kundi la kuwa mjinga au mpumbavu, wewe upo katika kundi gani hapo?
Alimcheka mtukufu ambaye alinyuka pamba za kufa mtu baada ya kuvunja kabati .
Alichokifanya idris ni kucheka tu, upande wa pili palikuwa na picha ya kizamani ya mh. Raisi"Sultani Alifanya Dhihaka.
Kwanza tambueni Raisi JP Magufuli, ni Raisi halari wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Hivyo anastahili kuheshimiwa na kila raia wa nchi hii, bila kujali ulimpigia kura au la.
Idrisa kama Msanii anayetazamwa na watu wengi Aliidhihaki Picha ya Raisi na Watanzania wengi waliiona video clip yake.
Je kama msanii ile video ililenga kufanya nini ktk jamii yetu.
Idrisa anastahili adhabu kali ili iwe fundisho kwake na kwa wengine.
Nawasilisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu swali langu! Unajua kusoma? Umeona nilichokuuliza?kundi la wanaojielewa..
Hyo kesi mkiipeleka kwa sura YA UANAHARAKATI MNAMPOTEZA HUYO.
bora wasanii wenzie wamtete sio hao wanaojiita wana harakati kesi yake itakuwa ngumu.
Nyie mnaojiita wana harakati ndo mnamzamisha idris.
Sawa wewe mwerevu, lakini nakupa ushauri wa bure "usifanye utani kwa mtu ambaye hamjazoeana"Ujinga tu Mbona mwinyi alivyotetea condom kwa waislamu alipigwa kibao sembuse Mzee Mataga.
Huyu dogo asipokula kitu cha MONEY LAUNDERING Amshukuru sana Allah na aache huo ujinga, Maisha yake anayo yeye kama yeye. Halafu elimu yemyewe hana.Mchekeshaji huyu alikuwa akishikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay kwa takriban siku 8 akifanyiwa mahojiano.
Haijajulikana ni mashtaka gani atasomewa lakini kwa wa mujibu wa Polisi, walikuwa wakimuhoji kwa tuhuma za kujaribu kuharibu ushahidi na makosa mengine ya Kimtandao.
Endelea kufuatilia....
Sawa wewe mwerevu, lakini nakupa ushauri wa bure "usifanye utani kwa mtu ambaye hamjazoeana"
Ni Vizuri ukaenda Kumtetea Mahakamani kama una uhakika kwamba hakutenda kosa.Alichokifanya idris ni kucheka tu, upande wa pili palikuwa na picha ya kizamani ya mh. Raisi"
Haya ya kudhalilisha picha ya rais yametokea wapi!?
Akifungwa, kwa mujibu wa sheria kucheka itakuwa kosa la jinai na zamu yako itafuata"
Sawa mzeeAfungwe haraka tumechoka kuona vijana badala ya kulima wanashinda Twitter
Ndivyo ilivyo. Unashikwa na kiwewe kwanza kabla akili ikae vizuri unakuta hela imeisha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wazo la kwanza litakuwa lipi sasa?Ila umenikumbusha kitu kuna jamaa alibahatika kupata kazi nzuri basi akawa akipata mshahara au akichukua mkopo benki kama milioni 10 anatembea nazo mfukoni zote halafu anakuwa na msafara,anakodi suti kali na anakodi Rangerover kisha anaenda kutega mingo kwenye viwanja wanavyopenda kuingia mastaa kama akina wema,uwoya ili aonekane naye ni pedeshee.
Mimi sizungumzii kama ana kosa au hana kosa.Ni Vizuri ukaenda Kumtetea Mahakamani kama una uhakika kwamba hakutenda kosa.
Mimi sina Zamu na mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mbona anaonea Shangazi wa wenzake?eti kosa la kumuonea mtandaoni....
Inashangaza....Yeye mbona anaonea Shangazi wa wenzake?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Ndivyo ilivyo. Unashikwa na kiwewe kwanza kabla akili ikae vizuri unakuta hela imeisha
Hahahahaha,,,,sema namimi nimejikuta nacheka tu bila sababu....
Suala la kumcheka rais ni kawaida Sana? Yuli alidhihaki ile picha ya rais. Kweli ile suti ya kizamani ila siyo uende mitandaoni kumdhihakiSikupingi ....hila ...Tabia zakuwapa watu kesi za uhujumi uchumi au utakatishaji pesa sio nzuri...kumcheka Rais wa JMT nijamb lakawaida sana.