Suala la kuchapia kimaandishi au kimatamshi linatokea kwa binadamu woteHalari =halali ....kuandika kwenyewe Huwezi . ..sasa mambo ya Idriss utayafahamu vipi.
We Kansa tuma picha yake nyingine uone navyojua kucheka watuMtu mwenyewe "umejificha" kwa uoga, hahaha.
Huyo mkuu wa nchi,ile picha ni yake au sio yake?Avune alichopanda. Huwezi kufanya dhihaka kwa Mkuu wa Nchi kiasi kile
Angejaribu kuwadhihaki wazazi wake kwanza
Huyo mkuu wa nchi,ile picha ni yake au sio yake?
Kwa hiyo ni Mungu sio?Ni yake
Kwa hiyo ni Mungu sio?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Sio Mungu
Anaweza akakana kwamba hakujua kama yule ndio huyuhuyu John Pombe Joseph wa sasaAlicheka picha ya mfalme
inshangaza sana....Yeye mbona anaonea Shangazi wa wenzake?
Sent from my typewriter using Tapatalk
Usiwe jinga. Hivi unajua yule kijana yuko wapi?Ujinga tu Mbona mwinyi alivyotetea condom kwa waislamu alipigwa kibao sembuse Mzee Mataga.
Amefariki last year ....baada ya ccm kumrogaUsiwe jinga. Hivi unajua yule kijana yuko wapi?
Aise inashangaza watu mnavyojitoa ufahamu kutetea ujinga wa huyu dogo, hizi siasa zinatupeleka mahali tunasahau maadili yetu kama watanzania. Watanzania tumelelewa katika maadili ya kuheshimu watu waliotuzidi umri, chukulia mfano angekuwa baba yako mzazi amepostiwa na Idris Kama alivyo fanya we ungejisikiaje kama mtoto. Achilia mbali siasa Raisi JPM ana familia ana watoto, wanajisikiaje wanapoona mzee wao amespostiwa kwa kejeli namna ile. Jpm kiumri ni mzazi kwa Idris kwa hiyo kwa mtu uliyelelewa katika maadili ya Kitanzania na ni mfuasi wa dini muislamu au mkristu huwezi kusapoti ujinga aliofanya Idris.Mimi sizungumzii kama ana kosa au hana kosa.
Nimesema kuhusu video aliopost idris.
Ilikuwa anacheka na pembeni kuna picha ya raisi.
Mbona mi naona hili la kudhalilisha picha ya mh. Ni jambo lililopo tu akilini kwa watazamaji?
Yaani kucheka imekua ni kosa baada tu ya kuwepo kwa picha ya mhishimiwa!?
Kwani wewe ulijuaje kama alikuwa anaicheka picha!?
Hivi wewe ukiona picha ya baba yako wakati yuko sekondari unaweza kuicheka kama alivyofanya IS?
Suti kama ile ningegaragara kabisa hata kama ingekuwa picha ya baba mzazi, na zipo mbona majumbani huwa tunazicheka saanaa, ni comedy toshaAise inashangaza watu mnavyojitoa ufahamu kutetea ujinga wa huyu dogo, hizi siasa zinatupeleka mahali tunasahau maadili yetu kama watanzania. Watanzania tumelelewa katika maadili ya kuheshimu watu waliotuzidi umri, chukulia mfano angekuwa baba yako mzazi amepostiwa na Idris Kama alivyo fanya we ungejisikiaje kama mtoto. Achilia mbali siasa Raisi JPM ana familia ana watoto, wanajisikiaje wanapoona mzee wao amespostiwa kwa kejeli namna ile. Jpm kiumri ni mzazi kwa Idris kwa hiyo kwa mtu uliyelelewa katika maadili ya Kitanzania na ni mfuasi wa dini muislamu au mkristu huwezi kusapoti ujinga aliofanya Idris.
Sent using Jamii Forums mobile app