StupidKuposti posti picha za watu mitandaoni na kuwadhihaki si jambo zuri. Ndio shida ya ulimbukeni wa mitandao!!!
Mijitu imelimbuka kutwa kupiga umbea na kutengeneza majungu.
Kudhihaki watu mitandaoni ni kosa la jinai na ni utovu wa nidhamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha kudhihaki ni kosa? Basi funga nchi nzima, ni kitu kila binadamu anafanya, tofauti moja ni online nyingine ni offline. I'm done dealing with you stupid people, block list yangu karibia ijae.Kudhihaki
kosa lake kukosa ubunifu wa kuchekesha?rais kadhihakiwa vipi?huyo sio yeye?hakuvaa hivyo?aliyemcheka alimchora au ni yeye aliyevaa hivyo
Kafanyaje kwani?Yule dogo anajisahau sana....... anapaswa kufunzwa adabu!
kosa lake ni kucheka hadharani?kumbe ni kweli picha inachekesha ila angechekea pembeni,hiki kizazi hikiKuna shida gani kama angechekea in private hata na marafiki zake? Kwanini huyu failed, self-appointed "comedian" lazima kila mara atafute attention mtandaoni? Hawezi kujizuia kama watu wengine wenye akili nzuri? He probably thinks he's so funny and likable by all, and he can get away with anything. Ile kushinda Big Brother has gone to his head and inflated his ego so much.
amecheka picha imemchekesha kama mimi nilivyocheka na wenzangu kwenye magroup na hapa JF.ila yeye kama walivyofanya watu wengine wakashea furaha yao kwenye mitandao. Kama ambavyo tunafurahishwa na picha za zamani za watu wengine maarufu kina Masanja, Joti, Kikwete, Mkapa, Kanumba, Wasira, zipo humu mitandaoni.
Brother acha kutetea vitu visivyo na msingi, kwamba anachekesha Rais kavaa suti kubwa? au analikuwa anachekesha nn?amecheka picha imemchekesha kama mimi nilivyocheka na wenzangu kwenye magroup na hapa JF.ila yeye kama walivyofanya watu wengine wakashea furaha yao kwenye mitandao. Kama ambavyo tunafurahishwa na picha za zamani za watu wengine maarufu kina Masanja, Joti, Kikwete, Mkapa, Kanumba, zipo humu mitandaoni
Brother acha kutetea vitu visivyo na msingi, kwamba anachekesha Rais kavaa suti kubwa? au analikuwa anachekesha nn?
Mbali na Rais hiv angekuwa Baba ake angeweza fanya hivo?
Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
Na wamfanye kile watakachopenda, hata ikiwezekana wamwingizie kabisa kila siku kwa wiki nzima ili akija huku mtaani aje awasimulie wajinga wenzie!Kwa ufupi Idris ni mpumbavu! Unafahamu utawala wenyewe jinsi ulivyo, ulipotezewa mara ya kwanza halafu unarudia kilekile unachotafuta ni kipi?
Hatetei haki ya namna yoyote zaidi ya kuchekesha! Kwa nini asiwe mbunifu? Joti, Kingwendu, Mpoki na wengineo mbona sanaa yao wanaipiga fresh tu!
Ngoja akanyooshwe kwanza!
Hana adabu Idriss. Sio mila zetu waafrika hizo. Je angekua ni baba yake angefanyia hivyo? Yule kinda Hana heshimaamecheka picha imemchekesha kama mimi nilivyocheka na wenzangu kwenye magroup na hapa JF.ila yeye kama walivyofanya watu wengine wakashea furaha yao kwenye mitandao. Kama ambavyo tunafurahishwa na picha za zamani za watu wengine maarufu kina Masanja, Joti, Kikwete, Mkapa, Kanumba, Wasira, zipo humu mitandaoni.
Picha ambayo ni yake mwenyewe hajavishwa na mtu,kama inachekesha watu wasicheke. Kwanza kwa wengine hii ni sifa,angekuwa Kikwete hapo hata angeweza kuhojiwa na media akasema enzi zetu hizo mambo yalikuwa bambam
iko wapi point hapo kutetea ujinga. unadhani kila baba ni mnoko. madingi wengine kwao hili ni jambo la kufurahi pamoja na jamii au familia. picha ndo uhalisia wako,nikuulize picha ina matatizo gani kiasi kwamba mtu akiicheka uchukie?
nikuulize picha ina matatizo gani mpaka ikichekwa uchukie katika kiwango cha kuweka mtu ndani.Hana adabu Idriss. Sio mila zetu waafrika hizo. Je angekua ni baba yake angefanyia hivyo? Yule kinda Hana heshima
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe unaona mbali. kama kila mtu akikuudhi una mfunga utafunga wangapi