amecheka picha imemchekesha kama mimi nilivyocheka na wenzangu kwenye magroup na hapa JF.ila yeye kama walivyofanya watu wengine wakashea furaha yao kwenye mitandao. Kama ambavyo tunafurahishwa na picha za zamani za watu wengine maarufu kina Masanja, Joti, Kikwete, Mkapa, Kanumba, Wasira, zipo humu mitandaoni.
Picha ambayo ni yake mwenyewe hajavishwa na mtu,kama inachekesha watu wasicheke. Kwanza kwa wengine hii ni sifa,angekuwa Kikwete hapo hata angeweza kuhojiwa na media akasema enzi zetu hizo mambo yalikuwa bambam