Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

Time will tell jamani,tusubiri.
Usijeumbuka na viapo vyako unavyoapia.
Teh Teh
Kama Wema atakuwa na Mimba nina ahidi .....................................
 
Hivi huyo Wema mimba huwa zinaendaga wapi maana kila mwaka nasikia.ana mimba mara ya Dimond mara ya kigogo mbunge mara sijui kumzalia nani,hivi huyu mama yeye mimba kwake ni story eeeh!
Zote mwampachika nyie humu ndani
 
Such a hater
 
Wema juzi kati alimjibu alomtukana...kwa kumuuliza lini alisema ana mimba???
Kumbuka hajawahi tangaza
Naahidi kama Wema atakuwa na mimba................................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…